Mtendaji mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Dr Kijazi amesema mvua za Vuli zitakuwa chini ya wastani na zitaanza kunyesha wiki ya nne ya mwezi huh
Wakulima wanashauriwa kulima mazao yanayostahimili...
Ni jambo la kushangaza sana eti tozo tulizobakiziwa ni kwa sababu ya ujenzi wa miradi ya kimkakati! Kwamba miradi hii inayokaridiriwa kugharimu zaidi ya trilion 30 yote inapaswa kukamilishwa kwa...
Mahakama ya Wilaya Kyela Mkoani Mbeya, Septemba 1, 2022 ilitoa hukumu ya mashauri mawili.
Kwanza ni Shauri ya Jinai Na.91/2021 (R v Never Black Mwakalinga na Holdin Jaji), ambapo mshtakiwa wa...
Wanabodi za jioni!poleni kwa changamoto za Corona,sukari na kukosa matumaini ya nchi yetu!!!
CCM mngetengeneza demokrasia yetu!!kuliko kutumia polisi na rasilimali nyingi kuua upinzani nchini!Hao...
"...kuna sekta mfano haijaguswa kabisa ambayo ni ya mifugo unakuta mfugaji ana ng'ombe zaidi ya elfu 15 je huyo naye tumjengee josho la mifugo wake bure?! Mimi natoka kwenye familia ya kifugaji...
Nisiende mbali Sana, nichukue mfano wa Mwaka huu kuanzia January Hadi August.
Kuna Jambo jipya naliona na naomba kujulishwa kama kuna mwongozo mpya juu ya ziara za Mheshimiwa Rais.
Katika ziara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day) leo tarehe 03 Septemba, 2022.
Tulimsikia Rais wetu, Samia Suluhu Hassan, katika hotuba yake ya majuzi, huko Katika Chuo cha Polisi
Moshi, akieleza kuwa baadhi ya maofisa wa Polisi, wanaiba mafuta ya petrol/diesel...
Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu.
Nyingi ya clinic...
Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali(IGP) Camilius Wambura, amesema kesi 1,844 ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha kupelekwa mahakamani...
Sawa jamaa wana uchumi mkubwa mno mno na hatuwezi jilinganisha nao lakini, basi hata ya njia 2 tu kutoka Dar hadi Morogoro hatuwezi?
Ila angalia tunavyo weza kuagiza V8 kila mwaka za billion...
Wanabodi,
Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa jitihada zote za Rais Samia kukemea vitendo vyote vinavyo chochea uonevu wa kisiasa na vilevile jitihada zake kukemea vitendo vyote vya kihalifu...
Dada na Rais wangu kipenzi Samia hivi ni kweli umeamua kumpa ushindi wa chee mwendazake kwenye sekta ya nishati? Kwa nini lakini iwe mapema namna hiyo?!
Kwamba unataka tukubaliane na mwendazake...
Waziri Ummy hili la Bima ya Afya Umeniangusha sana, hapa nilipo nina masikitiko makubwa sana ya maelezo unayoyatoa na kinachoendelea.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ni wazi kabisa tumeanza...
Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya...
Mungu nakuomba uniongoze niandike kinachoeleweka
Tanzania sasa inapitia wakati mzito na mgumu sana kama Taifa. Wananchi wamepoteza matumaini lakini kinachowazuia kufanya maamuzi ni hofu ya kuuawa...
Jana Waziri wa Fedha kasema tozo waliziomba raia wenyewe, sasa kama hadi sasa raia wako kimya maana yake yes, tulizomba tozo hivyo tufunge midomo yetu.
Hivyo sasa ni wakati wa kulipa, kuendelea...
Kuna tofauti kubwa sana za utashi na utendaji kati ya hayati JPM na mama SSH.
JPM, alijitahidi sana kuishi maisha ya watanzania. Namaanisha watanzania walio wengi. Wenye hali inayoendana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.