Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa Kilimanjaro, Yasin Lema anaharibu uchaguzi wa CCM Jimbo la Hai

Kisambusa

Member
Aug 8, 2022
27
16
Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya wagombea uongozi ngazi ya wilaya kwenye kikao cha kupitisha majina mkoani kupitia kamati ya siasa ya Ccm ya mkoa.

Yasin Lema ni mtu muongeaji na mjuaji sana na anaonekana mtu mwenye busara ila ana majungu na roho mbaya hivyo ni muhimu CCM wakawa Nate makini kwenye vikao muhimu vya maamuzi.

Katika Hali ya kushangaza Yasin Lema pia ni mgombea kupitia Ccm wilaya ili akachaguliwe au kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya Ccm mkoa wa Kilimanjaro 2022-2027.

Ili kuonyesha ukubwa wa cheo chake anazunguka nyumba Kwa nyumba na Katibu wa wazazi wilaya ya Hai kuhakikusha majina ya wajumbe yatakatwa au kubadilishiwa nafasi walizoomba na kupewa nafasi zingine ambazo wajumbe hawakuziomba.

Yasin Lema amekwenda mbali na kuhamasisha udini I viongozi wanaochaguliwa ngazi ya wilaya wawe wanatokana na dini yake.

Wengi wanamuonea huruma Yasin Lema kuhusu ulemavu wake wa mguu ila ukweli ni kiongozi hatari ndani na nje ya Ccm wilaya Hadi mkoa.

Tunashauri Yasin Lema alindwe na wamuepuke kuchaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya siasa mkoa kwani anavujisha Siri pia za chama Kwa Mdogo wake God bless Lema ambaye anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema mwaka 2025.

Mengi mtaendelea kuyapokea kwani tuko nyuma yake kuwapa Yale yanayoendelea ila ninashauri mgombea kupitia Jimbo la HAI walio omba nafasi kwenye chama majina Yao yasibadilishiwe nafasi walizoomba iwapo litatokea utakuwa ni msimamo wa Yasin Lema na sio uamuzi wa kamati ya siasa ya CCM ya mkoa.

Katibu wa CCM Taifa soma ujumbe huu na fuatilia utakutana na ukweli wake bila kificho.
 
Tukisema CCM ni manyang'au mnasema oh, chuki oh sijui nini....
 
Kwani mlipo kuwa mkichekelea Magufuli kuwaagiza Wakurugenzi wasimtangaze mpinzani kuwa ameshinda nafasi yeyote mlifiki madhara ya Ujinga ule yangeishia hewani tuu bila ninyi ma jizi ccm kuathirika?
 
Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya wagombea uongozi ngazi ya wilaya kwenye kikao cha kupitisha majina mkoani kupitia kamati ya siasa ya Ccm ya mkoa.

Yasin Lema ni mtu muongeaji na mjuaji sana na anaonekana mtu mwenye busara ila ana majungu na roho mbaya hivyo ni muhimu CCM wakawa Nate makini kwenye vikao muhimu vya maamuzi.

Katika Hali ya kushangaza Yasin Lema pia ni mgombea kupitia Ccm wilaya ili akachaguliwe au kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya Ccm mkoa wa Kilimanjaro 2022-2027.

Ili kuonyesha ukubwa wa cheo chake anazunguka nyumba Kwa nyumba na Katibu wa wazazi wilaya ya Hai kuhakikusha majina ya wajumbe yatakatwa au kubadilishiwa nafasi walizoomba na kupewa nafasi zingine ambazo wajumbe hawakuziomba.

Yasin Lema amekwenda mbali na kuhamasisha udini I viongozi wanaochaguliwa ngazi ya wilaya wawe wanatokana na dini yake.

Wengi wanamuonea huruma Yasin Lema kuhusu ulemavu wake wa mguu ila ukweli ni kiongozi hatari ndani na nje ya Ccm wilaya Hadi mkoa.

Tunashauri Yasin Lema alindwe na wamuepuke kuchaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya siasa mkoa kwani anavujisha Siri pia za chama Kwa Mdogo wake God bless Lema ambaye anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema mwaka 2025.

Mengi mtaendelea kuyapokea kwani tuko nyuma yake kuwapa Yale yanayoendelea ila ninashauri mgombea kupitia Jimbo la HAI walio omba nafasi kwenye chama majina Yao yasibadilishiwe nafasi walizoomba iwapo litatokea utakuwa ni msimamo wa Yasin Lema na sio uamuzi wa kamati ya siasa ya CCM ya mkoa.

Katibu wa CCM Taifa soma ujumbe huu na fuatilia utakutana na ukweli wake bila kificho.
Hayatuhusuu

Huku sio kwa Wanaccm mkuu

Sisi CCM tunavikao vya chama

Na kuna utaratibu wake
Fuata utaratibu wa chama
 
Acha ukunguru! Umekosa namba ya huyo Katibu mkuu wenu wa ccm Taifa, mpaka uje umuandikie huu waraka humu jukwaani?

Kwa nini tusiamini ya kwamba wewe ndiye mwenye majungu na mfitini namba 1 huko Hai!!!
 
Akili yako inalingana na mbegu za vitunguu
 
Kunguru muoga wewe! Unashindwa kwenda kutoa malalamiko yako huko kwenye chama chako cha majambaz! Eti unakuja kutulilia sisi humu!

Dawa ya watu kama nyinyi ni kuwapiga tu za uso, ili siku nyingine muogope kuleta pua na majungu yenu humu.
 
Mimi cdm mkuu
 
Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya wagombea uongozi ngazi ya wilaya kwenye kikao cha kupitisha majina mkoani kupitia kamati ya siasa ya Ccm ya mkoa.

Yasin Lema ni mtu muongeaji na mjuaji sana na anaonekana mtu mwenye busara ila ana majungu na roho mbaya hivyo ni muhimu CCM wakawa Nate makini kwenye vikao muhimu vya maamuzi.

Katika Hali ya kushangaza Yasin Lema pia ni mgombea kupitia Ccm wilaya ili akachaguliwe au kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya Ccm mkoa wa Kilimanjaro 2022-2027.

Ili kuonyesha ukubwa wa cheo chake anazunguka nyumba Kwa nyumba na Katibu wa wazazi wilaya ya Hai kuhakikusha majina ya wajumbe yatakatwa au kubadilishiwa nafasi walizoomba na kupewa nafasi zingine ambazo wajumbe hawakuziomba.

Yasin Lema amekwenda mbali na kuhamasisha udini I viongozi wanaochaguliwa ngazi ya wilaya wawe wanatokana na dini yake.

Wengi wanamuonea huruma Yasin Lema kuhusu ulemavu wake wa mguu ila ukweli ni kiongozi hatari ndani na nje ya Ccm wilaya Hadi mkoa.

Tunashauri Yasin Lema alindwe na wamuepuke kuchaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya siasa mkoa kwani anavujisha Siri pia za chama Kwa Mdogo wake God bless Lema ambaye anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema mwaka 2025.

Mengi mtaendelea kuyapokea kwani tuko nyuma yake kuwapa Yale yanayoendelea ila ninashauri mgombea kupitia Jimbo la HAI walio omba nafasi kwenye chama majina Yao yasibadilishiwe nafasi walizoomba iwapo litatokea utakuwa ni msimamo wa Yasin Lema na sio uamuzi wa kamati ya siasa ya CCM ya mkoa.

Katibu wa CCM Taifa soma ujumbe huu na fuatilia utakutana na ukweli wake bila kificho.
Uchaguzi wa ccm 2022 wilaya ya Hai utagubikwa na changamoto kubwa sana ila Katibu mkuu wa ccm Taifa ameacha maagizo na maelekezo Muhimu ya kiutekelezaji kwa Katibu wa ccm mkoa wa Kilimanjaro ambayo yanaweza kukinisuru chama huko Hai.
 
Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya wagombea uongozi ngazi ya wilaya kwenye kikao cha kupitisha majina mkoani kupitia kamati ya siasa ya Ccm ya mkoa.

Yasin Lema ni mtu muongeaji na mjuaji sana na anaonekana mtu mwenye busara ila ana majungu na roho mbaya hivyo ni muhimu CCM wakawa Nate makini kwenye vikao muhimu vya maamuzi.

Katika Hali ya kushangaza Yasin Lema pia ni mgombea kupitia Ccm wilaya ili akachaguliwe au kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya Ccm mkoa wa Kilimanjaro 2022-2027.

Ili kuonyesha ukubwa wa cheo chake anazunguka nyumba Kwa nyumba na Katibu wa wazazi wilaya ya Hai kuhakikusha majina ya wajumbe yatakatwa au kubadilishiwa nafasi walizoomba na kupewa nafasi zingine ambazo wajumbe hawakuziomba.

Yasin Lema amekwenda mbali na kuhamasisha udini I viongozi wanaochaguliwa ngazi ya wilaya wawe wanatokana na dini yake.

Wengi wanamuonea huruma Yasin Lema kuhusu ulemavu wake wa mguu ila ukweli ni kiongozi hatari ndani na nje ya Ccm wilaya Hadi mkoa.

Tunashauri Yasin Lema alindwe na wamuepuke kuchaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya siasa mkoa kwani anavujisha Siri pia za chama Kwa Mdogo wake God bless Lema ambaye anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema mwaka 2025.

Mengi mtaendelea kuyapokea kwani tuko nyuma yake kuwapa Yale yanayoendelea ila ninashauri mgombea kupitia Jimbo la HAI walio omba nafasi kwenye chama majina Yao yasibadilishiwe nafasi walizoomba iwapo litatokea utakuwa ni msimamo wa Yasin Lema na sio uamuzi wa kamati ya siasa ya CCM ya mkoa.

Katibu wa CCM Taifa soma ujumbe huu na fuatilia utakutana na ukweli wake bila kificho.
Umeshindwa uchaguzi ndani ya Chama kubali yaishe, hiki chama kina watu wengi, wajumbe wamekukataa acha porojo za kuchafua watu.

Mzee Yasin Lema ni miongoni mwa watu imara sana waliokibeba chama mara zote aheshimiwe.
 
Lema Yasin Anafanya siasa za usiku kutaka godbles Lema kwenda kugombea Jimbo la HAI ,ndio njia unayoiona anakisaidia chama?
 
Mimi cdm mkuu
Vijana kama ninyi mnadhalilisha vyama vyenu na viwango vyenu vya elimu, sasa kama wewe ni cdm ya ccm yanakuhusu nini?

Na kama ungelikuwa cdm kweli unampingaje Lema kwamba asigombee?. TWAWEZA wakitoa utafiti wao wa ujinga wenu mtaanza kusema mnatukanwa.
 
Hata cdm wanafiki, wakware, wafitini pia huwa wanashughulikiwa mara moja. Mfano covid 19 walifutwa wote .
 
Back
Top Bottom