Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MWIGULU NCHEMBA ACHOMOZA URAIS 2015 ..Wasomi, diaspora, wakulima, wafugaji wajitokeza kumhitaji Na Mwandishi Wetu Wakati makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kujitokeza...
0 Reactions
114 Replies
15K Views
Mfoi alikiri hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Richard Kabate wakati Wakili wa Serikali, Ashura Mzava, akimsomea mshtakiwa maelezo ya awali, baada ya...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amempa saa 24 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Khalfani Magani kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa madai ya kuficha fedha za...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Siku Hayati John Pombe Joseph Magufuli anazindua Stand kuu ya Mabasi iliyopo Mbezi Louis katika mambo aliyowaahidi wakazi wa Mbezi na Kibamba ni pamoja na Kujenga barabara za Mpiji na Makabe kwa...
24 Reactions
75 Replies
6K Views
Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya...
8 Reactions
138 Replies
13K Views
Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote, tunajenga nchi, tunaendesha miradi ni vichaka tuu vya kujifichia ila...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari Jf, nimefuatilia baadhi ambazo zinakuwa zikirushwa mubashara kuna kitu fulani kinaongezeka katika kuonyesha haki inatendeka. Itapunguza mambo mengi kufichwa na udanganyifu. Mtu akisema...
1 Reactions
4 Replies
771 Views
Wenzetu huko nje unakuta tweeter ya Rais imesheheni taarifa muhimu kwa ajili ya wananchi, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k. Tunaweza kubadilika na sisi?!
1 Reactions
5 Replies
744 Views
Toka siku niliposikia kuwa WIZARA ya Fedha ingetoaa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki, nimekuwa nikiota ndoto. Kuna ndoto na kuna ndoto. Kuna ndoto za usiku na kuna ndoto za...
3 Reactions
9 Replies
997 Views
Salaam, Sio kawaida yangu kusikiliza briefing za kitaifa kwa siku za hivi karibuni, ila kwa jana kulikua hakuna haja hata ya wale mawaziri wengine kuwepo pale ulitosha kabisa, na huyu ndio Mwigulu...
-1 Reactions
29 Replies
2K Views
Yafuatayo ni mapendekezo yangu yatayobana matumizi na/ama kuibua/kuongeza makusanyo. 1. Wabunge walipwe sh 45,000/= kwa siku badala ya Tsh 300,000/= kama sitting allowance. Hivyo serikali itaokoa...
18 Reactions
47 Replies
3K Views
Kitabu cha Kutoka 14:14 " Bwana atawapigania mnachotakiwa ninyi ni kunyamaza kimya" Binadamu ameumbwa na uwoga ila Mungu wa mbinguni ndio hutupa ujasiri. Watanzania siyo waoga. Jumaa kareem!
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakati ndugai anawaambia ukweli wakaamua kushugulika nae, wakalala nae mbele. Vijana wa CCM walivimba haswa. Sasa maisha yetu yanapojazwa Tozo hadi CCM wenyewe wanalialia tu. Ila wakimuona...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi. Mama Samia kafanya kweli katika kulitumbua jipu...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
"2020 uchaguzi uliibwa kimkakati, kwamba mtawala ameiba uchaguzi wote halafu wewe unagaiwa. Wewe utakuwa Mbunge wa Korogwe, wewe Mtwara, wewe Karagwe. Hata ule uchaguzi ambao ulikuwa na wizi na...
48 Reactions
149 Replies
9K Views
Ndugu zangu huo ndio msemo mpya ulioibuka huku mtaani kwa kundi kubwa la wakulima ambao kwao kilimo ndio pumzi yao, wanasema hakika Mh. Rais Samia amewafikia kwa wakati na kuwajaza matumaini...
1 Reactions
0 Replies
676 Views
Juzi baada ya Rais John Magufuli kutangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambayo yalimtupa nje aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba kila mmoja alisema yake, lakini jana...
9 Reactions
136 Replies
27K Views
Rais Samia tuliokupenda tulikuambia ukweli kuwa njia uliyoanza nayo haikuwa sahihi ulianza kabisa kwa kutoboa matundu ya kukusanyia pesa ili hali ukijua kuwa kuwalegezea matajiri lazima masikini...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
0 Reactions
0 Replies
481 Views
1. JPM ' s rule! (Kodi + Mikopo)×Usimamizi makini=? 2. SSH's rule (KODI+MIKOPO+TOZO) _______________________ × USIMAMIZ DUNI UREFU WA KAMBA Tunawaomba humu wajuzi wetu kutafuta...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Back
Top Bottom