Mradi wa maji uliogharimu Tsh. mil. 13,000,000/-

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
E08EE5DD-9995-49F5-92D6-627EB8A2ED4D.jpeg
Unaambiwa hapo ndani kuna pump iliyogharimu Tsh. mil. 12,000,000 ya kisasa ambayo umeme ukikatika inatunza charge, pia unaweza kuiwasha hata kwa simu.
 
Sasa bei ya hiyo pampu ni shilingi ngapi kwenye soko?

Pump, solar, batteries..... vyote hivyo unganisha halafu uje kutwambia gharama halisi siyo kutuonyesha kibanda tu.
 
Mi nadhani kwa gharama hizo ni sahihi kabisa.wanasiasa wanapenda kuketa ujinga wao kwenye taaluma za watu.
Tofali Bei gani?
Mchanga?
Ciment?
Kokoto?
Bati,rangi,mbao,nondo.
Usafili wa hivyo vifaa?
He mafundi wamelipwa kiasi gani? Kumbuka hapo mkandarasi anatumia gharama zake nyingi tu za ziada.
 
Back
Top Bottom