Mkutano wa hadhara wa Act Wazalendo huo hapo chini.
Tena wanatishia kuvunja muungano na kurudisha kiti cha Zanzibar Umoja wa Mataifa.
Wakati huohuo huku Tanganyika vyama mbadala vinazuiwa...
Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu.
Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu...
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia...
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?
Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.
Kulamba...
Ninetumia miezi mitatu, kusoma mageuzi nchi mbali mbali Duniani, nilianzia South America, nikapitia mageuzi nchi kama Argentina, Colombia, Venezuela, Chile, na baadae nikapitia America ya kati...
Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiyo kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na...
Kwa miaka sitini ya uhuru mkulima hajawahi pata bei stahiki ya mazao yake. Haya tunayoyaona leo ni matokeo ya kumnyonya. Watu waliacha kulima kahawa na chai sababu ya kunyonywa. Lakini sababu hao...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Baraza la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi.
Amesema kwa mara ya kwanza sheria hiyo...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatano imewazuia Mjumbe wa Halmashauri Kuu NCCR Mageuzi, Joseph Selasini na wenzake kuratibu na kuitisha Mkutano au kikao chochote kitachohusu chama...
Chama cha NCCR MAGEUZI kimefungua kesi mahakamani dhidi ya viongozi waliojaribu kufanya mapinduzi na kusababisha sintofahamu kwenye chama hicho.
Kesi hiyo imefunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa...
Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke...
Kwanza nimpongeze member mwenzetu huyu kwa kuthubutu na kuomba uteuzi wa kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM. Mchakato wa uteuzi umekamilika wateuliwa kugombea kupitia CCM wameshatajwa.
Jimbo...
Tulimsikia Rais live akiwa Arusha.
Akitamka kupokea message za kuomba salio kutoka kwa mmojawapo wa waandishi waandamizi nchini.
Huo ni mfano na uthibitisho tosha kwamba waandishi wa nchi hii ni...
Watumiaji wa huduma za Maji nchini moja kati ya kero zao ilikua ni kuhusu ubambikaji wa bili za maji kwa wananchi, Miongoni mwa maagizo aliyowahi kutoa Rais Samia Suluhu ni pamoja na uharakishwaji...
Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni...
Mhe. Dorothy Onesphoro Gwajima, Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, kwa siku za hivi karibuni kumekuwa kukishuhudiwa matukio mbali mbali ya Watu kujitoa uhai...
Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi.
Baadhi ya jitihada muhimu...
Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na...
Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa...