Waafrika wapeta Baraza la Mawaziri Uingereza-Kwasi Kwarteng Waziri wa Fedha na James Cleverly Waziri wa Mambo ya Nje

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,138
Hii ndio habari mpya ya Dunia.

Waziri Mkuu wa Uingereza Madam Liz Truss amekamilisha safu yake ya Baraza la Mawaziri huku sura za Waingereza wenye asili ya Afrika zikichomoza kwenye nafasi nyeti.

Walioteuliwa kwenye nafasi hizo ni:

1. James Cleverly kuwa Waziri wa Mambo ya Nje.

2. Kwasi Kwarteng, Waziri wa Fedha.

Aidha ameteua mwanamama Suela BrawenSon ambae ana asili ya Wahindi Weusi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Kana kwamba haitoshi kuna Waziri wa TAMISEMI wa Uingereza mwenye asili ya Iraq Nadhim Zahawi.

Hongera sana kwao uwezo ndio unaamua sio rangi na asili ya mtu.👇

Screenshot_20220906-211645.png
Screenshot_20220908-122611.png

Screenshot_20220908-122601.png
 
Waziti wa Tamisemi ya Uingereza Nadhim Zahawi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220908-124618.png
    Screenshot_20220908-124618.png
    142.5 KB · Views: 7
Hii ndio habari mpya ya Dunia.

Waziri Mkuu wa Uingereza Madam Liz Truss amekamilisha safu yake ya Baraza la Mawaziri huku sura za Waingereza wenye asili ya Afrika zikichomoza kwenye nafasi nyeti.

Walioteuliwa kwenye nafasi hizo ni:

1. James Cleverly kuwa Waziri wa Mambo ya Nje.

2. Kwasi Kwarteng, Waziri wa Fedha.

Aidha ameteua mwanamama Suela BrawenSon ambae ana asili ya Wahindi Weusi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
View attachment 2349933View attachment 2349934
Kana kwamba haitoshi kuna Waziri wa TAMISEMI wa Uingereza mwenye asili ya Iraq Nadhim Zahawi.

Hongera sana kwao uwezo ndio unaamua sio rangi na asili ya mtu.👇
View attachment 2349931
Kwa hiyo hao wateule wapo kwa ajili ya maskahi ya Afrika?

Tuachege kuwaza shallow mkuu. Tujikite kuipigania Afrika from within
 
Waziri wa fedha ni Mwafrika au ni mwingereza mweusi (Blackman)?
Ata Salah ni Mwarabu Ila ni Mwafrika!
Kichwa Cha uzi wako kimenitatiza kidogo!
 
And t
Uingereza na Australia figisu nyingi sana, kudumu kwenye nafasi ya waziri mkuu ni mtihani.........yaani unapigwa chini ndani ya chama na unapoteza u PM hata kabla ya uchaguzi mkuu.
And this shall happen soon!,take ma words! Shouldn't do this no no no! She destroying our supreme!and standards!
 
Waziri wa fedha ni Mwafrika au ni mwingereza mweusi (Blackman)?
Ata Salah ni Mwarabu Ila ni Mwafrika!
Kichwa Cha uzi wako kimenitatiza kidogo!

Kuna watu wana akili mbaya sana, kila wakiona mtu mweusi wanajua ni mwafrika. Sidhani kama wanajua Afrika kusini hapo wamejaa makaburu na wao ni waafrika. Ni bora waseme mtu mweusi au mwenye asili ya Afrika na sio muafrika.
 
Back
Top Bottom