Ni Ofisi mkuu.. sio CHOO😂😂Ukiwa mwizi Sana baadae Akili zinaruka .....hii Choo imegharimu million 13?
Na Yale ma v8 ni ya kuwapeleka kazini, kupeleka watoto shule na ibadani tu.80% ya matumizi yake sio tija kwa walipa kodi.waache dabo standardNchi hii wanapiga wanaoumia ni walipa kodi aisee bado matumizi makubwa kwenye magari yao ukijua utakimbia yale ma vieti yanatafuna kodi balaa na yapo mengi...
Si ndiyo hapoWaziri aache kiki na yeye mbona waliopiga pesa kwenye ripoti ya CAG awachukuliwi hatua au sababu wanakula nao.
Mtu anatuhuma za kununua mabus achunguzwi, wanadili na waganga njaa SAsa hio milioni 11 ndo hela ya kupigia kelele wakati wao wanafuja zaidi ya hizo.
Mfano v8 moja tu kwa mwezi linakunywa nusu ya hizo pesa. Aache dabo standard
Kuna watu wanapiga pesa sana saivi, haya ni machache sana kati ya mengi yaliyojifichaUPIGAJI wa Fedha za MIRADI kwa sasa ni Kawaida tu WATU WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA ZAO
JENGO LINGINE HILI HAPA HATA MWENGE WA UHURU ULITAKA KUZIMA ULIPOSIKIA GHARAMA ZAKEView attachment 2350853
Mtu anapiga kelele eti tumeibiwa Tsh 11 wakati yeye yupo kwenye vi eti la 450 m na ni msafara wa kutosha yaani ni sawa na kwenda kumkamata mwizi wa dagaa wakati wezi wa Samaki wapo nao na wapo kimya...waanze wao kupunguza matumizi makubwa hawa wa chini wataogopa kazi kwa vitendo...Na Yale ma v8 ni ya kuwapeleka kazini, kupeleka watoto shule na ibadani tu.80% ya matumizi yake sio tija kwa walipa kodi.waache dabo standard
Swali la kujiuliza hapa ni vipi utawala wote wa mkoa haujui kiwango cha wizi huu mpaka mradi unakaribia kwisha. Waziri mkuu atoke dodoma mpk wilayani uyui kugundua upigaji huu? Pccb,ras, das,rc n.k. wote hawana habari? Kweli?UPIGAJI wa Fedha za MIRADI kwa sasa ni Kawaida tu WATU WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA ZAO
JENGO LINGINE HILI HAPA HATA MWENGE WA UHURU ULITAKA KUZIMA ULIPOSIKIA GHARAMA ZAKEView attachment 2350853
Na hao ndio wanaoafiki tozo na kutushangaa tunaolalamika kumbe wanapiga humohumoNchi hii wanapiga wanaoumia ni walipa kodi aisee bado matumizi makubwa kwenye magari yao ukijua utakimbia yale ma vieti yanatafuna kodi balaa na yapo mengi...
Ofici ya walinzi na Choo maana hii ni kama Choo tuNi Ofisi mkuu.. sio CHOO😂😂