Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nauliza tu waungwana, ni kweli haya maharage bei yake ni sh. 3500 kwa kilo au huyu Mangi anataka kuniona mimi mbwiga?! Majibu tafadhali.
1 Reactions
10 Replies
811 Views
Ni ushauri tu kutoka kwa kada mkongwe wa CCM pale CCM Mwinjuma Mwananyamala. Mgaya anasema kodi nyingi itapatikana kwenye michezo ya kamari. Mungu wa mbinguni awabariki.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tozo zinaamuliwa kwenye Baraza la mawaziri ambalo asilimia 100 ni CCM na mwenyekiti wa Baraza la mawaziri ni Raisi, Bajeti inayo pelekwa Dodoma inasomwa na Waziri wa CCM na inapitishwa na wabunge...
1 Reactions
0 Replies
439 Views
Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza. Uvumi unaweza kusambaa haraka sana...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais wa awamu ya 4 . Mzee Kikwete leo ametoa maoni yake Kwenye Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto kabwe Source ITV
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030. Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
Akiomba Bungeni kwamba Mh spika Aunde tume ya uchunguzi. Juu ya Ujenzi wa Bwawa la Nyerere pamoja na Upandaji wa Bei za Mafuta pamoja na mbolea. Kwamba kuna wajanja wanatengeneza michezo kwa...
19 Reactions
47 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Nchi yoyote yenye Wabunge Majasiri na wanaojitambua haiwezi kukosa maendeleo. Wabunge ni watunga sheria na wasimamizi wa Serikali. Kwa hiyo, ukiwa na Wabunge wenye ujasiri...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
--- MCHANGO WA MAANDISHI WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA AFYA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 BUNGENI...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii nchi ukitafakari sana utajua ya kwamba tunakosa viongozi wenye maono na wazalendo kwa taifa hili na inapotokea kiongozi mzalendo na mchapakazi basi ujue nchi hii sio mahala pake. Hakuna...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya...
55 Reactions
304 Replies
24K Views
*LUHAGA MPINA AIBUA BUNGENI SAKATA LA UPOTEVU WA SHILINGI TRILIONI 360. MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina amehoji bungeni zilipo fedha za watanzania Shilingi Trilioni 360 ambazo Serikali...
5 Reactions
74 Replies
9K Views
Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais. Lakini... 1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Akichangia hotuba ya waziri wa viwanda na biashara, mbunge Kisesa, Luhaga Mpina ameongelea mambo mbalimbali ikiwemo uhusiano kati ya sekta binafsi na umma, mikataba mibovu ukiwemo wa Tanesco na...
38 Reactions
121 Replies
10K Views
Gazeti la Raia Mwema toleo la leo Septemba 10, 2022 limeandika uwaziri mkuu waitesa CCM. Hii taarifa ina maana gani?
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu , uzi huu ni wa ushauri tu , si uzi wa Majungu , na sikutaka kukupigia kwenye ile simu yako ya Vodacom , nimeona niweke hapa ili hata Washauri wako waone , labda wanaweza kukushauri zaidi ...
22 Reactions
28 Replies
2K Views
Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji...
41 Reactions
169 Replies
9K Views
Wewe mwenyewe ulishuhudia na uliona namna alivyotekeleza 👇 === Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo...
1 Reactions
5 Replies
941 Views
Mwanasiasa ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amezungumza mambo mengi katika mahojiano maalum na Dar24 na kufunguka mambo mengi ikiwemo sakata lake la kuvuliwa Uwaziri...
36 Reactions
96 Replies
12K Views
Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za...
5 Reactions
96 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…