Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa ndio ndugu wajumbe. Watu makini wasiokuwa na madoa: 1. Salim Ahmed Salim (Chair) 2. Martti Ahtisaari 3. Aicha Bah Diallo 4. Mohamed ElBaradei 5. Horst Köhler 6. Graça Machel 7. Festus Mogae...
8 Reactions
85 Replies
5K Views
- Awataka wawe mfano wa kuigwa katika Jamii kwa kuwa wazalendo Na waadilifu. - Wanaochaguliwa kujiunga JKT wajiunge pasipo visingizio. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka...
1 Reactions
9 Replies
832 Views
IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Aisee kumbe private jet letu bado lizima aisee leo bi mkubwa katua nalo kwa malkia yani bila kokolo. Aisee hili G5 tuliambiwa tule majani litanunuliwa tupende tusipende. Msoga alibolu nalo sana...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la JTM, Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Tangu mradi wa gesi ukamilike enzi za JK nasikia tu kuwa tunapata kiduchu gesi nyingi inaenda nje ya nchi Je, hiyo inayoenda nje ya nchi ni ya kwetu au tayari ni ya wale mabwana weupe? Na kama...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akiambatana na viongozi mbalimbali leo Jumamosi tarehe 17 Septemba alihudhuria maziko ya Mhashamu Baba Askofu Mkuu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Salamu zimfikie ndugu Samia Huku mtaani ndugu rais kuna malalamiko, wananchi wanasema hawakusomi, hawakuelewi, na nitakueleza nilichosikia huku mtaani! 1. Suala la tozo za miamala Wananchi...
33 Reactions
122 Replies
10K Views
INBAR welcomes Mr. Ali Mchumo as its fifth Director General Video courtesy of MAELEZO March 2019 – The International Bamboo and Rattan Organisation, INBAR, is delighted to confirm the...
3 Reactions
53 Replies
6K Views
Ninayo furaha kuwafahamisha watu wote Duniani kwamba , leo 17/09/2022 Kamati Kuu ya CHADEMA inakutana Mkoani Dar es salaam katika kikao cha Kikatiba . Kikao hicho Kizito kinaongozwa na Yule yule...
18 Reactions
54 Replies
4K Views
Mkataba wa kimataifa wa Vienna wa mwaka 1961 unakataza Wanadiplomasia kujihusisha na mambo ya ndani ya nchi au taasisi wanazowakilisha. Sheria ya Tanzania ya mwaka 1986 ina akisi vienna kama...
32 Reactions
146 Replies
14K Views
Wanasiasa wa Tanzania hasa wa upinzani ni lazima waongozwe kwa kila jambo peke yao hawawezi lolote Maskini nchi yangu Tanganyika!
0 Reactions
4 Replies
566 Views
Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma SATURDAY SEPTEMBER 17 2022 Summary Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni wengi sana hasa viongozi waandamizi walioko madarakani na wastaafu hawakubaliani na ccm awamu ya nne. Na ndio imekuja tena kwa mlango wa nyuma kuendesha serikali hii ya awamu ya SITA. Ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tozo pekee sio suluhisho la uchumi wetu . Rudisha vitambulisho KWA wajasiria mali,vitambulisho viwe na gredi kutokana na mtaji wa muhusika,yaani ;- Gredi A Wajasiria mali wenye mitaji ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati wenzetu wanapanga kuonana na watu wa maana ulimwenguni. Sisi wa kwetu wanaona sifa kupiga picha na baba yake Rihanna.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nukuu: “Kumekuwa na tabia iliyojitokeza ya kutoimba wimbo wataifa mpaka nikajiuliza kuimba nijambo la kisheria, kisera au Niutaratibu ,sasa kama ni jambo la kisheria Mhe. Waziri watu wengi...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Mifugo na Uvuvi na kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona katika kadhia hii ya katiba mpya watu wengi wanamfananisha mwenyekiti wa TCD Zitto Kabwe na mwenyekiti wa TLP Dr Mrema tena wanadai Zitto Kabwe ni Lyatonga aliyechangamka. Kiukweli Zitto...
14 Reactions
26 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Ali Abdulgulam Hussein amesema awamu ya nane imedhamiria kuona sekta ya Elimu inaendelea kupiga hatua kwa kuendelea kupunguza changamoto...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom