Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,180
Reaction score
286,080
Ninayo furaha kuwafahamisha watu wote Duniani kwamba , leo 17/09/2022 Kamati Kuu ya CHADEMA inakutana Mkoani Dar es salaam katika kikao cha Kikatiba .

Kikao hicho Kizito kinaongozwa na Yule yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho .

Kaa tayari kupokea taarifa nzito zinazobeba DIRA YA TAIFA .

Mungu ibariki Chadema

JamiiForums753274111.jpg
 
Ninayo furaha kuwafahamisha watu wote Duniani kwamba , leo 17/09/2022 Kamati Kuu ya Chadema inakutana Mkoani Dar es salaam katika kikao cha Kikatiba .

Kikao hicho Kizito kinaongozwa na Yule yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho .

Kaa tayari kupokea taarifa nzito zinazobeba DIRA YA TAIFA .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 2359813
Mungu ibariki CDM,

Mungu ibariki TANZANIA. Ameeen
 
Ninayo furaha kuwafahamisha watu wote Duniani kwamba , leo 17/09/2022 Kamati Kuu ya Chadema inakutana Mkoani Dar es salaam katika kikao cha Kikatiba .

Kikao hicho Kizito kinaongozwa na Yule yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho .

Kaa tayari kupokea taarifa nzito zinazobeba DIRA YA TAIFA .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 2359813

Maamuzi magumu tafadhali:

1. Maridhiano na wasiotaka maridhiano yana maana gani?
2. Tunarejea kuidai katiba mpya kwa vitendo, yaani Mwanza style.
3. Tamko rasmi kuhusu panya road na tunatoka je. Ifahamike waliotufikisha hapa wangalipo ofisini. Walikuwa wapi wakiliangalia tatizo hili likimea?
4. Kauli thabiti kuhusu tozo. Mkakati wa kupinga hizi ingekuwa mali sana.

Zaidi sana uelekeo wetu kuelekea Tahrir mwisho wa matatizo tutaupokea kwa mikono miwili.

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
 
Maamuzi magumu tafadhali:

1. Maridhiano na wasiotaka maridhiano yana maana gani?
2. Tunarejea kuidai katiba mpya kwa vitendo, yaani Mwanza style.
3. Tamko rasmi kuhusu panya road na tunatokq je. Ifahamike waliotufikisha hapa wangalipo ofisini. Walikuwa wapi wakiliangalia tatizo hili likimea?
4. Kauli thabiti kuhusu tozo. Mkakati wa kupinga hizi ingekuwa mali sana.

Zaidi sana uelekeo wetu kuelekea Tahrir mwisho wa matatizo tutaupokea kwa mikono miwili.

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
Mwanza style ni ya kizamani,

Mikutano ya hadhara ni HAKI ya KIKATIBA ni muda sasa wa kujenga chama kuelekea 2024.
 
Ninayo furaha kuwafahamisha watu wote Duniani kwamba , leo 17/09/2022 Kamati Kuu ya Chadema inakutana Mkoani Dar es salaam katika kikao cha Kikatiba .

Kikao hicho Kizito kinaongozwa na Yule yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho .

Kaa tayari kupokea taarifa nzito zinazobeba DIRA YA TAIFA .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 2359813
Asante kwa taarifa, tuko standby very attentively kusubiria taarifa hizo nzito za kikao hiki, kama ulivyo tujulisha.

P
 
inatuhusu nini sisi, kamati kuu ambayo wanakutana wenye macho mekundu inatuhusu nini? In nyerere voice!
 
Back
Top Bottom