Gulfstream G550 letu la Mramba limetua Uingereza

Gulfstream G550 letu la Mramba limetua Uingereza

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,880
Aisee kumbe private jet letu bado lizima aisee leo bi mkubwa katua nalo kwa malkia yani bila kokolo.

Aisee hili G5 tuliambiwa tule majani litanunuliwa tupende tusipende. Msoga alibolu nalo sana enzi zake, babu magu alilipaki akabolu na dreamliner, leo naona bimkubwa kaliosha vumbi katimba nalo one way trip hadi UK. Big up sana kwa bimkubwa.
View attachment 2360091
 
Na bado walahi!
Hao wazungu watakuja kuturamba miguu walahi!
Trust me on that walahi!
Mwenye Enzi Mungu ni Mkubwa sana na kila jambo lina wakati wake, kama ilivyo kuwa Misri ndio walionzisha civilizations na iko AFRIKA, na mwisho nguvu za duniani zita rudi AFRIKA walahi!
Jiamini songa mbele![emoji2]
 
Endeleeni kulazimisha kutumia ndege isotumika muda mrefu kana kwamba likitokea la Kutokea tutaepa kupitia dirishani!!!

Nashauri waliache huko lifanyiwe service, arudi kawaida.
 
Aisee kumbe private jet letu bado lizima aisee leo bi mkubwa katua nalo kwa malkia yani bila kokolo.

Aisee hili G5 tuliambiwa tule majani litanunuliwa tupende tusipende. Msoga alibolu nalo sana enzi zake, babu magu alilipaki akabolu na dreamliner, leo naona bimkubwa kaliosha vumbi katimba nalo one way trip hadi UK. Big up sana kwa bimkubwa.
View attachment 2360091
Waingereza wamewasihi viongozi kutokwenda Uingereza na ndege zao binafsi au wapeane lift, lakini naona viongozi wengi wameamua kujimwambafy, pamoja na sisi!
 
Waingereza wamewasihi viongozi kutokwenda Uingereza na ndege zao binafsi au wapeane lift, lakini naona viongozi wengi wameamua kujimwambafy, pamoja na sisi!
Kuna mahali niliandika kuhusu hawa viongozi wa kiafrika dhidi ya maslahi ya mataifa yao kuwa hawana hofu wala nguvu ya kufanya makubwa kwenye mataifa yao.

Huwa wanatokea viongozi jasiri katika 100 labda mmoja tena kwa kipindi kirefu ambaye anaingia na nguvu yenye kuleta muujiza nchini mwake, lakini pia huwa hapendwi na hadumu.
 
Back
Top Bottom