johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,897
- 141,833
Nimeona katika kadhia hii ya katiba mpya watu wengi wanamfananisha mwenyekiti wa TCD Zitto Kabwe na mwenyekiti wa TLP Dr Mrema tena wanadai Zitto Kabwe ni Lyatonga aliyechangamka.
Kiukweli Zitto hafanani kabisa na mzee wetu Augustino Lyatonga Mrema.
Mrema amekuwa mbunge wa kuchaguliwa kwa majimbo mawili ya mikoa miwili tofauti Temeke na Vunjo.
Zitto alitumikia majimbo mawili hapo hapo Kigoma kwa kuuziana na Serukamba.
Mrema amekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri
Mrema alitangaza hadharani kwamba katika siasa za JUMLA yeye ni CCM na katika siasa za Rejareja yuko TLP
Zitto anaitumikia CCM kwa siri siri hana ujasiri wa kusema wazi.
Lakini kubwa kuliko yote mzee Mrema siyo MNAFIKI kabisa nyekundu anaita nyekundu na hamuogopi yoyote.
Zitto Kabwe ana siasa za kujipendekeza mara Chadema mara CCM yaani ni kama " bonge la popo"
Namtakia mzee Mrema harusi njema na yenye baraka!