Sina shaka na performance ya mkuu Pascal Mayalla endapo atagombea ubunge wa EALA na kujieleza ndani ya bunge la JMT kisha Kuomba kura kwa akina Babu Tale na Kibajaj
Natafakari tu kwa mfano...
Hivi mbona ni aibu kubwa sana kwa taifa kubwa lenye rasimali nyingi na utajili wa maliasili kama Tanzania kufikiria juu ya kukamua tozo toka kwa wananchi wanyonge badala ya kufikiria kutumia...
Ndugu zangu habarini za Alhamisi.
Ninaleta wazo kwenu kwenye uchaguzi wa 2025.
Tukumbuke kuwa kwa sasa vilio vingi ni mambo ya TOZO kila uchwao, haya yametokea kutokana na ubutu wa Bunge letu...
Dah
👇
Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya...
Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya watanzania wako tayari Kulipa tozo kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.
Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na serikali...
KWA WABUNGE WANAOMBA KURA KUWAKILISHA BUNGE LA EAC HAYA MAMBO MUHIMU SANA YA KUZINGATIA
"Asiyekubali kushindwa huyo sio mshindani"
Binafsi nianze kwakukipongeza chama cha mapinduzi (CCM) kwa...
Ripoti ya Utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kidemokrasia imezinduliwa rasmi Dar es Salaam, leo Alhamisi Septemba 22, 2022
Kamishna...
Wakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker..
Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu...
Amesema aligundua kuwa anapofanya miamala Serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu.
Ametaka Serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata kiko sahihi au...
Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe.
Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana...
Akitoa amri/ushauri kwa Serikali Jana kwenye kusanyiko la Kibunge jijini Dodoma, Naibu Spika wa Bunge hilo Zungu alipendekeza Serikali kuanza kukusanya kodi kwenye matumizi ya data.
Akiongea kwa...
1. RIP kwa wote waliotangulia, miongoni mwa watu maarufu na wenye ushawishi / mvuto
Mrema alihamia upinzani kwa shinikizo la Mwl Nyerere
Sumaye alihamia upinzani kutafuta umaarufu alioukuwa...
Habari za wakati huu JamiiForums.
Kwanza kabisa ninaomba ieleweke kwa kila mmoja wetu ya kwamba, Tanzania ililazimika kupigana vita ya Kagera mwaka 1978 kwa lengo la kuikomboa ardhi yetu na...
Hebu tuzitafakari hizi kauli mfu za Naibu Spika:
"Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za...
Jeshi la Policu linahitaji mageuzi makubwa sana ya kiumuundo, Sasa wao magezi wanayo yajua huwa ni yale ya kuhamisha RPC, hii ndio we anayo imudu sana, yaani wakitoka kupokea lecture kutoka kwa...
Elimu ndio chombo pekee kinachoweza kuwakutanisha mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini katika ofisi moja na mgahawa mmoja. Takwimu zinaonyesha kuwa shule binafsi za msingi na sekondari nchini ni...
Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu...
Napitia Takwimu kutoka kenya juu ya kuimarika kwa Biashara kati ya Tanzania na Kenya mara mbili zaidi kutoka Mwaka 2020.
Takwimu kutoka nchini Kenya zinaonyesha Biashara kati ya Tanzania na Kenya...
Historia ya watu Afrika ni chungu sana toka miaka ya zamani sana kwa mfano kupitia kipindi cha utumwa, ukoloni na sasa ukoloni maomboleo, lakini historia ya watu mbalimbali katika sehemu ya...