Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa...
Bodi ya Mto Wami imezuia Kilimo cha Umwagiliaji kutokana na upungufu wa Maji mtoni
Wakulima wa mpunga nk wameshauriwa kusubiri Mvua za msimu kwani kipaumbele cha sasa ni Maji kutumika majumbani...
Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana.
Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili.
Fanyeni...
Ndugu wanaJF na Watanzania kwa ujumla amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja KWa imani yake.
Husika na mada tajwa hapo juu, Matabaka ya elimu Tanzania limekua zimwi linaloendelea kututafuna...
Ndugu zangu watanzania
Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka!
Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa ameripoti rasmi Wizarani na kulakiwa na Watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe...
Mimi ni mdau wa maendeleo nchini nimesoma mijadala kuhusu ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege mwanza ninakubaliana na wale wanaosema halina viwango vya kimataifa, na wala haliwezi kutumika...
Hivi karibuni, na hadi sasa, kuna mijadala ya kisiasa ambayo kimsingi chimbuko lake ni utawala bora. Baadhi ya mijadala ni pamoja na:
[emoji830]︎ Madai ya Katiba mpya;
[emoji830]︎ Utawala wa...
BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 18:00hrs 03/10/2021
Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia...
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, ametahadharisha ya watu wanaokwamisha uwepo wa baadhi juhudi za Serikali katika taasisi nyeti za umma zinazohusika na masuala ya biashara na uwekezaji.
Dk...
Mh. Rais, Pole na majukumu ya kazi, tunaomba kulipwa malimbikizo ya mishahara, kila mara tumekuwa tukiomba kulipwa na tunaendelea kusisitiza kutendewa haki ya kulipwa malimbikizo ya mishahara ya...
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili...
RAIS Jakaya Kikwete leo Oktoba 7, 2022 anaadhimisha miaka 72 tangu kuzaliwa kwake ni jambo la kheri na tunaungana na Watanzania wengine kumtakia kheri Mzee wetu wa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania...
Rais wa awamu ya nne leo akiongea na kituo cha redio cha Clouds FM kwenye kutimiza miaka 72 tangu aje duniani, ameongelea uchaguzi wa ndani ya chama cha CCM mwaka 1995.
Kikwete amesema baada ya...
Waziri wa kilimo mh Bashe amesema taifa lina akiba ya Chakula ya kutosha hivyo msiwe na wasiwasi
Bashe amesema uzalishaji wa mazao Ilikuwa tani za ujazo Milioni 17 wakati mahitaji ni tani za...
Serikali imewataka Wananchi kuchukua tahadhari zote kufuatia Mamlaka ya hali ya hewa kutangaza upungufu wa Mvua msimu huu wa Vuli yaani October to December
Waziri Simbachawene amesema moja y...
Wanabodi...
Niwasabahi kwa kuwatakia asubuhi njema na natumai mko fresh kabisa.
Kabla sijaenda mbali Mwalimu wangu wa Sheria pale chuo kikuu aliwahi nifundisha kuhusu "ku-declare interest"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.