Jerusalem city
Senior Member
- Jan 15, 2021
- 161
- 191
Mh. Rais, Pole na majukumu ya kazi, tunaomba kulipwa malimbikizo ya mishahara, kila mara tumekuwa tukiomba kulipwa na tunaendelea kusisitiza kutendewa haki ya kulipwa malimbikizo ya mishahara ya nyuma.
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani