Bodi ya Mto Wami yafunga Skimu ya Umwagiliaji yawataka Wakulima wasubiri Mvua Maji ni machache!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Bodi ya Mto Wami imezuia Kilimo cha Umwagiliaji kutokana na upungufu wa Maji mtoni

Wakulima wa mpunga nk wameshauriwa kusubiri Mvua za msimu kwani kipaumbele cha sasa ni Maji kutumika majumbani na Wananchi zaidi ya Milioni 8 wanaoyategemea kwa maisha

Source ITV Habari

Sabato njema!
 
Mbona ukiandika habari zako ijumaa mwisho humalizii kwa kuwatakia waislam ijumaa karim. Ila jumapili na jumamosi unafanya hivyo?
 
Halafu tunatumia matrilioni kujenga bwawa la umeme huko rufiji wakati hali ndio hii kwa sasa.

Yaani hili jambo nimekuwa nikijiuliza na nikihoji busara ya kujenga bwawa la bei mbaya huku mabadiliko ya tabia nchi yakiwa dhahiri
 
Hivi tanzania hawanaga reserve dam

Ova
... swali zuri sana. Hivi kwa mfano kwa Dar es Salaam na maeneo jirani inashindikana vipi kujenga bwawa kubwa la kukusanya maji ya Mt. Ruvu yakasaidia wakati wa ukame? Huwa sipati jibu; bwawa lina nini zaidi ya kuchagua mahali panapofaa, kuchimba ardhi, pengine kuimarisha kingo (zege), na kufungulia maji?

Eneo tambarare ilipo Ruvu Sec. panafaa sana pale. Likatengwa eneo la at least km. 2 x 2 kwa kina cha at least 5 m huo ni ujazo wa 2,000 x 2,000 x 5 = 20,000,000 cubic meters => 20,000,000,000 litres.

Kama wastani wa matumizi kwa siku kwa maeneo hayo ni say, 100,000,000 then reserve ya ujazo huo itatosheleza kwa zaidi ya siku 200 (ikizingatiwa maji yanaendelea kuingia/inflow along with outflow/matumizi) muda ambao unatosha kuvuka msimu mmoja kwenda mwingine bila tatizo la maji. Ila ndio hivyo tena ukame wa miezi mitatu tayari vilio!
 
Bodi ya Mto Wami imezuia Kilimo cha Umwagiliaji kutokana na upungufu wa Maji mtoni

Wakulima wa mpunga nk wameshauriwa kusubiri Mvua za msimu kwani kipaumbele cha sasa ni Maji kutumika majumbani na Wananchi zaidi ya Milioni 8 wanaoyategemea kwa maisha

Source ITV Habari

Sabato njema!
😀😀sikuhizi umekua ripota wa ITV humu JF...hivi ili ulipwe buku 7 inatakiwa uandike threads ngapi aisee kwa siku
 
... swali zuri sana. Hivi kwa mfano kwa Dar es Salaam na maeneo jirani inashindikana vipi kujenga bwawa kubwa la kukusanya maji ya Mt. Ruvu yakasaidia wakati wa ukame? Huwa sipati jibu; bwawa lina nini zaidi ya kuchagua mahali panapofaa, kuchimba ardhi, pengine kuimarisha kingo (zege), na kufungulia maji?

Eneo tambarare ilipo Ruvu Sec. panafaa sana pale. Likatengwa eneo la at least km. 2 x 2 kwa kina cha at least 5 m huo ni ujazo wa 2,000 x 2,000 x 5 = 20,000,000 cubic meters => 20,000,000,000 litres.

Kama wastani wa matumizi kwa siku kwa maeneo hayo ni say, 100,000,000 then reserve ya ujazo huo itatosheleza kwa zaidi ya siku 200 (ikizingatiwa maji yanaendelea kuingia/inflow along with outflow/matumizi) muda ambao unatosha kuvuka msimu mmoja kwenda mwingine bila tatizo la maji. Ila ndio hivyo tena ukame wa miezi mitatu tayari vilio!
Najuaga hivyo ndivyo utaratibu unaotakiwa kufanyika...
Ndomana hata nyumbani licha ya kutumia maji yanayotoka mitoni
Lakini utakuta mtu anakuwa na reserve tank eg lita1000,lita5000 nk

Ova
 
Back
Top Bottom