Simbachawene: Watanzania chukueni tahadhari ya upungufu wa Mvua za Vuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Serikali imewataka Wananchi kuchukua tahadhari zote kufuatia Mamlaka ya hali ya hewa kutangaza upungufu wa Mvua msimu huu wa Vuli yaani October to December

Waziri Simbachawene amesema moja y tahadhari ni kujikinga na maradhi yanayosababishwa na upungufu wa Mvua ( maji)

Source ITV Habari
 
May God help us all.
Serikali imewataka Wananchi kuchukua tahadhari zote kufuatia Mamlaka ya bali ya hewa kutangaza upungufu wa Mvua msimu huu wa Vuli yaani October to December

Hii nchi iko kama jahazi lililo kosa kiongozi.
Tuna project uhaba wa mvua. Waziri wa kilimo ana sema mipaka haifungwi mazao yaende nje.
Hivi sasa kuna njaa nchni. Ungw wa mahindi kilo 2200/toka shs 700/
Mchele 3500/ toka 1800/
Mama kaamua kuwa vasco da gama. Kawa achia wahuni nchi.
 
Labda Maradhi ya ukosefu wa kinga za kitambulisho cha uraia NIDA.

Ambacho hakimfanyi Mtanzania kuwa Raia.
manny.png
 
Huyu naye ni waziri...taifa la ajabu hili..

Wananchi wachukue tahadhari ipi au serikali iandae mkakatia wa akuwasaidia wananchi
 
Hii nchi iko kama jahazi lililo kosa kiongozi.
Tuna project uhaba wa mvua. Waziri wa kilimo ana sema mipaka haifungwi mazao yaende nje.
Hivi sasa kuna njaa nchni. Ungw wa mahindi kilo 2200/toka shs 700/
Mchele 3500/ toka 1800/
Mama kaamua kuwa vasco da gama. Kawa achia wahuni nchi.
Nadhani hujamuelewa mkuu, anamaanisha, magonjwa yatokanayo na upungufu wa mvua ni UKOSEFU wa Umeme; hapo sasa mnaandaliwa kisaikolojia, IPTL, Aggreko, Symbion na the like ndo wanapigiwa chapuo hivyo na genge lao!

Kuna waliotangaza kuwa leo ni siku kuu!
 
Hii nchi iko kama jahazi lililo kosa kiongozi.
Tuna project uhaba wa mvua. Waziri wa kilimo ana sema mipaka haifungwi mazao yaende nje.
Hivi sasa kuna njaa nchni. Ungw wa mahindi kilo 2200/toka shs 700/
Mchele 3500/ toka 1800/
Mama kaamua kuwa vasco da gama. Kawa achia wahuni nchi.
Kwaiyo unataka chakula Cha Bure?
 
Serikali imewataka Wananchi kuchukua tahadhari zote kufuatia Mamlaka ya hali ya hewa kutangaza upungufu wa Mvua msimu huu wa Vuli yaani October to December

Waziri Simbachawene amesema moja y tahadhari ni kujikinga na maradhi yanayosababishwa na upungufu wa Mvua ( maji)

Source ITV Habari
 
Attachments

  • read this.pdf
    386.2 KB · Views: 2
Ko unapoambiwa kuchukua tahadhari usibeze, kukiwepo maji ya mvua tunaweza kukwepa maji yasofaa lakini kama mvua hazipo utatumia maji yoyote yanayopatikana jambo ambalo ni hatari kwa afya
 
Back
Top Bottom