Kwanini Mzee Jakaya Kikwete ameteka mitandao yote leo?

Rege

Senior Member
Jul 9, 2022
112
140
RAIS Jakaya Kikwete leo Oktoba 7, 2022 anaadhimisha miaka 72 tangu kuzaliwa kwake ni jambo la kheri na tunaungana na Watanzania wengine kumtakia kheri Mzee wetu wa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania.

Sasa Swali linakuja Tarehe ya Kuzaliwa JK inajulikana ni kwa nini miaka yote hatujawahi kuona Promo kubwa kiasi hiki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, lakini leo vyombo vyote vya habari vimeteka habari hiyo, mitandao yote ya kijamii na hata viongozi mbambalimbali kuanzia Wasanii, Watu maarufu, Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Mawaziri kila mmoja kwa nafasi yake akimpamba Rais Kikwete na kupost picha aidha wakiwa pamoja au picha yake na maneno lukuki.

Mungu mbariki JK.
 
Ingewezekana leo tuifanye siku ya mapumziko. Ni Rais mstaafu aliefanya mengi japo watu wachache humletea vijidharau visivyo na kichwa. Binafsi namkubali JK forever.

Mh Jakaya Mrisho Kikwete aishi miaka mingi zaidi.
 
Ingewezekana leo tuifanye siku ya mapumziko. Ni raisi mstaafu alie fanya mengi japo watu wachache humletea vijidharau visivyo na kichwa. Binafsi namkubali JK forever.
Mh Jakaya Mrisho Kikwete aishi miaka mingi zaidi.
Ni kweli hata mimi nimeshangaa safari hii imekuwa zaidi ya ile aliyofikisha miaka 70. Na huko Mtwara ama Lindi jana niliona kwenye mitandao ya Kijamii Kapteni mstaafu wa JWTZ George Mkuchika naye akipongezwa kwa kutimiza miaka 74 ya kuzaliwa kwake. Sijui Chifu Hangaya itakuwa lini ama yake ilinipita?
 
Na wewe jitahidi utende mema zaidi kwenye jamii yako upate kukumbukwa na kuenziwa
 
Ni kweli hata mimi nimeshangaa safari hii imekuwa zaidi ya ile aliyofikisha miaka 70. Na huko Mtwara ama Lindi jana niliona kwenye mitandao ya Kijamii Kapteni mstaafu wa JWTZ George Mkuchika naye akipongezwa kwa kutimiza miaka 74 ya kuzaliwa kwake. Sijui Chifu Hangaya itakuwa lini ama yake ilinipita?
Mwezi February kama sikosei
 
Baada ya kutawaliwa kwa mkono wa chuma na shetani Mrundi wa Chato, Sasa hivi ndio Watanzania wamegundua JK walikuwa Rais muungwana na aliyejali ubinadamu, kama ni mapungufu anayo ya kibinadamu si sawa na huyu mshamba Mrundi wa Chato.

Hii ndio sababu kubwa JK anapewa heshima anayostahili sasa.
 
RAIS Jakaya Kikwete leo Oktoba 7, 2022 anaadhimisha miaka 72 tangu kuzaliwa kwake ni jambo la kheri na tunaungana na watanzania wengine kumtakia kheri Mzee wetu wa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania.

Sasa Swali linakuja Tarehe ya Kuzaliwa JK inajulikana ni kwa nini miaka yote hatujawahi kuona Promo kubwa kiasi hiki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, lakini leo vyombo vyote vya habari vimeteka habari hiyo, mitandao yote ya kijamii na hata viongozi mbambalimbali kuanzia Wasanii, Watu maarufu, Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Mawaziri kila mmoja kwa nafasi yake akimpamba Rais Kikwete na kupost picha aidha wakiwa pamoja au picha yake na maneno lukuki.

Mungu mbariki JK.
Ngoma ikilia sana ...!!! Yaelekea ni msimu wa sherehe za uamsho wa neema
 
J.K made it, wapinzani ndo walimpaka matope na baadae mjomba. Na hiyo tabia isipoisha Mungu atakuja kunyoosha mkono wake juu yetu, yaani mtu mwema hatumtendei yaliyo mema, akija alokinyume tunaanza kumpigia kelele Muumba. Kumbukeni kisa Cha Yesu ndo mtaelewa namaanisha nini
 
I salute you Jakaaya Kikwete.

salute.png
 
RAIS Jakaya Kikwete leo Oktoba 7, 2022 anaadhimisha miaka 72 tangu kuzaliwa kwake ni jambo la kheri na tunaungana na watanzania wengine kumtakia kheri Mzee wetu wa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania.

Sasa Swali linakuja Tarehe ya Kuzaliwa JK inajulikana ni kwa nini miaka yote hatujawahi kuona Promo kubwa kiasi hiki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, lakini leo vyombo vyote vya habari vimeteka habari hiyo, mitandao yote ya kijamii na hata viongozi mbambalimbali kuanzia Wasanii, Watu maarufu, Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Mawaziri kila mmoja kwa nafasi yake akimpamba Rais Kikwete na kupost picha aidha wakiwa pamoja au picha yake na maneno lukuki.

Mungu mbariki JK.
Ndo mwenye Serikali kwa sasa!! Werevu wanaelewa ndo maana uchawa hauwaishi.
 
RAIS Jakaya Kikwete leo Oktoba 7, 2022 anaadhimisha miaka 72 tangu kuzaliwa kwake ni jambo la kheri na tunaungana na watanzania wengine kumtakia kheri Mzee wetu wa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania.

Sasa Swali linakuja Tarehe ya Kuzaliwa JK inajulikana ni kwa nini miaka yote hatujawahi kuona Promo kubwa kiasi hiki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, lakini leo vyombo vyote vya habari vimeteka habari hiyo, mitandao yote ya kijamii na hata viongozi mbambalimbali kuanzia Wasanii, Watu maarufu, Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Mawaziri kila mmoja kwa nafasi yake akimpamba Rais Kikwete na kupost picha aidha wakiwa pamoja au picha yake na maneno lukuki.

Mungu mbariki JK.
JK bado ana ushawishi hata akisema Leo agombee Urais atashinda.
 
Back
Top Bottom