Rais wa Kenya, William Ruto kufanya ziara ya siku mbili Nchini Tanzania

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Dar es Salaam. Rais wa Kenya, William Ruto kesho ataanza ziara ya siku mbili nchini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza katika nchi ya Afrika Mashariki tangu alipoapishwa Septemba 13, kuwa Rais wa tano wa nchi hiyo.

Tangu alipoapishwa, Rais Ruto ametembelea nchi tatu tofauti, ikiwamo Uingereza alikokwenda kuhudhuria maziko ya Malkia Elizabeth II, Marekani kuhudhuria mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa na jirani zake wa Ethiopia.
Ziara ya kiongozi huyo imekuja wakati yeye na Rais Samia Suluhu Hassan wakiahidi kuendelea kushirikiana kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi wao na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Chanzo: Mwananchi
 
Source:Mwananchi
Akili kubwa,aje na apewe nafasi ya kuhutubia bunge
 
Hataenda Uganda kabla ya kuja hapa? Ratiba ilikuwa hivyo, au Genero Muhoozi Kainerugaba kawatia hatihati!
 
Huyo ni rais aliyeko madarakani kihalali. Tunamkaribisha japo sioni lolote jipya kwenye huo ujio wake. Mivutano hasa ya kibiashara ya East Afrika, hususani Kenya na Tanzania ni ile ile miaka yote.

Biashara nyingi za Kenya zinaamuliwa na wafanyabishara, wakati huku kwetu zinaendeshwa kwa siasa za CCM zenye chembe chembe za kijamaa. Mazingira haya hayawezi kuleta afya yoyote kwenye ziara hii ya Ruto sasa, kama ambavyo haikuleta tija huko nyuma.
 
Hataenda Uganda kabla ya kuja hapa? Ratiba ilikuwa hivyo, au Genero Muhoozi Kainerugaba kawatia hatihati!
Uganda na Rwanda walitangaza kuwa tunamuunga mkono Raila Odinga hata kabla ya kura
Tulipiga kelele sana humu kuwa huko.ni.kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine hawakutakiwa kutoa matamko kama yale kuna uzi naupandisha muda si mrefu uone Rwanda na Uganda walichemka wapi
 
Back
Top Bottom