Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.

Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea mijino pembe wewe na Riz.

Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
 
Huo ni mtazamo wako, sisi tulimuona Magufuli kama Dikteta wa hatari kabisa, aliyekuwa amejificha nyuma ya Madaraja.

weeeerrr.jpeg
 
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.

Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea kila wewe na Riz.

Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Na bado utalialia sana humu na kamwe hatofufuka shetani wako.
Fanyia tu kazi ushauri wa Zito
 
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.

Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea kila wewe na Riz.

Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Kikwete aliitwa kila jina baya
 
Jitafakari why umepokea matusi mazito baada ya kumfananisha JK na JPM?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa anawatuma Wasiojulikana halafu yeye anajifanya yuko bize na Madaraja.

Nchi yangu ya amani Tanzania ilikuwa imetapakaa maelfu ya Wasiojulikana watu wakawa wanaishi kwa khofu kubwa.

Zikaanza nyimbo za kumsifu na "Stockholm syndrome" ikafuatia.
 
Kupiga hatua kubwa kwenye nyanja zipi?

Kama ni umasikini umeendelea kuwepo, kama watu wasingekua masikini kutokuwepo kwake mwaka 1 sio kigezo cha kuwa na purchasing power ndogo.

Suala la ukusanyaji mapato unakumbuka yalikua yanakusanywaje? Umesahau task force ya kukusanya kodi kwa mtutu ja maelekezo ya kutoka juu, watu kufungiwa account zao za fedha pia waliporwa pesa zao kimabavu kwenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni mchana kweupe!

Ukisema kajenga hospital sio kweli hata mzungu mnayemuita Beberu kajenga hospitali nyingi tu naweza kukupa mfano hospital ya Kagondo iliyoko Muleba ilijengwa mwaka 1912 je JPM alikuwepo? Hospital ni huduma muhimu kwa wananchi kodi za wananchi ndio zimejenga na kwani hata hapo Mzena alijenga JPM? Si aliikuta tu kama nyingine nyingi.

Rushwa huenda sambamba na matumizi mabaya ya ofisi je unaweza kutaja rushwa awamu ya tano bila kumtaja yule kijana mpendwa wa JPM aliyekua RC ule mkoa maarufu?
 
Back
Top Bottom