Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo tarehe 18 Oktoba, 2022
Zitto Kabwe- Kiongozi...
Na Chacha Wangwe Jr
Maelfu ya watanzania wanaojitokeza kumlaki Rais Samia Suluhu Hassan katika ziara yake Mikoani ni jambo la kuvutia lakini inapaswa ieleweke kuwa haya ni matokeo ya uchapakazi...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO.
Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing...
Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, tafadhali na samahan sana sisi wakazi wako hii tuniona ni fedhea na aibu Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla.
Hosptali kubwa kama mawenzi Hopstali haiwezekani ikose...
Amani iwe nanyi.
Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita...
Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni inaonyesha kwamba Nape Nnauye ambaye ni Waziri wa habari , ametoa msamaha kwa mtu yule duni aliyekubali kutumika kijinga kumtishia bastola ili kuwafurahisha...
CHADEMA wanataka kuwaaminisha Watanzania kwamba hakukuwa na mafisadi wala ufisadi kuanzia mwaka 2015 - 2020 maana wanasema kila aliyekamatwa alionewa!. Hata Rugemarila aliyethibitishwa na bunge...
zitto kabwe ni mwanaume kwelikweli .anahimili vishindo vyote ! Amepitia majaribio mengi ya hatari lakini hutamuona amepanikii !Pale mnaposema tumemmaliza mnajaribu kuweka sherehe mtakuta asubuhi...
Chuo chetu kiko chini ya wizara ya fedha.Tuko zaidi ya wanafunzi 2500 na pia wanaendelea kusajili wanafunzi katikati ya semester Chuoni kwetu tuna hali mbaya sanaa sio kwa jinsi uongozi wa chuo...
Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani.
Hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo...
RAIS SAMIA NI CHUMA CHA PUA DHIDI YA WABADHIRIFU
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha uimara mkubwa...
Akihutubia Katika Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2022 na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mkoani Kagera, Rais Samia ameziagiza Taasisi hizo za Kupambana na Rushwa kuwachukulia hatua...
Wakati Huku TZ tukiwasifia kwa Demokrasia pevu wakenya, pia tutafakari na hii:
41Bilions K/shs,+ 4.1bilions K/shs,+700 milionsK/shs,+ 851 millions, K/shs.+800millions, K/shs!
Ebu jumlisha hizo...
Wanabodi,
Kwanza kabisa napenda kuipongeza serikali ya Rais Samia kwa juhudi zote zilizofanyika kuleta maendeleo Kigoma na Tanzania nzima kwa ujumla. Maoni yangu hayata egemea upande wowote bali...
18 October 2022
Machame, Kilimanjaro
Tanzania
Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ktk masuala ya fedha shirikishi, Malkia Máxima wa Uholanzi amewasili Tanzania fedha shirikishi ktk...
Benki ya dunia yaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na nchi yetu ya Tanzania katika kusimamia uchumi.
Makamu wa Rais wa benki hiyo Bi @VictoriaKwakwa amezitaka nchi nyingine duniani ziige mfano...
Mheshimiwa Mbowe ni Mwanasiasa mkongwe wa Siasa za Upinzani, hakuna ubisihi kwa sasa anaamini kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mh. Samia Suluhu Hassan inawapeleka...
Mnisaidie ndugu wanaJF kulidadavua suala hili. Zitto Kabwe ni mwenyeji wa Ujiji Kigoma. Na amewahi kuwa mbunge wa huko.
2015 alihamia Jimbo la Kigoma Mjini, na kuwa mbunge wa Jimbo hilo mpk 2020...