Uteuzi wa Kingai umenikatisha tamaa

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,926
31,169
Heshima sana,

Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police 👮‍♀️.

Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote kuonyesha muelekeo ya Jeshi la police.

Naomba kusema inatosha sasa Katiba mpya ni muhimu kuliko jambo lolote.
 
Mkuu 'Ngongo', vipi mbona leo hueleweki namna hii?

Unalalamikia jeshi la polisi lakini huna ujasiri wa kusema chochote juu ya mteuzi?

Kwani ni"jeshi la polisi" ndio wamemteua Kingai kuwa DCI? Hakuna mwenye madaraka juu yao anayeweza kusema hakubaliani na uteuzi huo?

Hii tabia ya kinafiki inachosha sana!
 
Heshima sana,

Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police .

Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote kuonyesha muelekeo ya Jeshi la police.

Naomba kusema inatosha sasa Katiba mpya ni muhimu kuliko jambo lolote.
Kingai anastahili sifa.

Makamandoo wa Mr. Mbowe walikuwa njiani kwenda kumuua Lengai ole Sabaya, wakakamatwa na Kamanda Kingai na Afande Jumanne pale Rau Madukani wakinywa mbege.

Bila hivyo wangemuua ole Sabaya na wangenyongwa, na Mbowe naye angenyongwa kwa ushahidi wa Afisa wa tigopesa.

Watanzania wamshukuru Kingai kuepusha balaa hilo, leo hii tungekuwa na misiba ya Mbowe na Sabaya na wale makamado watatu.

Zaidi sana tumshukuru Mama kwa huruma yake bado Mbowe na makamandoo wake wangefungwa si chini ya miaka 7 kwa kula njama.

Kesi hizi hazifutiki huwa zinaweza kufufuliwa tena pindi ushahidi zaidi ukipatikana. Tukumbuke Mbowe hakuwahi kutoa ushahidi aliokolewa na Rais.

unasubiri kama katika payukapayuka yao kwenye Blogs za Maria Sarungi hawajisahau watoe siri iongezee ushahidi.

Kazi iendelee
 
Dunia
 
Hiyo hiyo kesi ya Mbowe ndo ilimpaisha
Mashtaka ya Mbowe yalikuwa halali kabisa na wengine tulilijua hilo kabla hata Mbowe hajatiwa korokoroni.
 
Heshima sana,

Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police 👮‍♀️.

Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote kuonyesha muelekeo ya Jeshi la police.

Naomba kusema inatosha sasa Katiba mpya ni muhimu kuliko jambo lolote.
Na Rais mwanamke basi hatutaki tena.
 
Kingai anastahili sifa.

Makamandoo wa Mr. Mbowe walikuwa njiani kwenda kumuua Lengai ole Sabaya, wakakamatwa na Kamanda Kingai na Afande Jumanne pale Rau Madukani wakinywa mbege.

Bila hivyo wangemuua ole Sabaya na wangenyongwa, na Mbowe naye angenyongwa kwa ushahidi wa Afisa wa tigopesa.

Watanzania wamshukuru Kingai kuepusha balaa hilo, leo hii tungekuwa na misiba ya Mbowe na Sabaya na wale makamado watatu.

Zaidi sana tumshukuru Mama kwa huruma yake bado Mbowe na makamandoo wake wangefungwa si chini ya miaka 7 kwa kula njama.

Kesi hizi hazifutiki huwa zinaweza kufufuliwa tena pindi ushahidi zaidi ukipatikana. Tukumbuke Mbowe hakuwahi kutoa ushahidi aliokolewa na Rais.

unasubiri kama katika payukapayuka yao kwenye Blogs za Maria Sarungi hawajisahau watoe siri iongezee ushahidi.

Kazi iendelee
Akili ni nywele,na wewe unazo za kwako,yaani leo mtu uje udhani watanzania wote ni mambumbu kiasi cha kuamini kuwa ushahidi wa Serikali na Kingai et Al.ulikuwa wa ukweli Kwenye ile Kesi ?? Kweli kuna watu mnavuta ndumu!!
 
Kingai anastahili sifa.

Makamandoo wa Mr. Mbowe walikuwa njiani kwenda kumuua Lengai ole Sabaya, wakakamatwa na Kamanda Kingai na Afande Jumanne pale Rau Madukani wakinywa mbege.

Bila hivyo wangemuua ole Sabaya na wangenyongwa, na Mbowe naye angenyongwa kwa ushahidi wa Afisa wa tigopesa.

Watanzania wamshukuru Kingai kuepusha balaa hilo, leo hii tungekuwa na misiba ya Mbowe na Sabaya na wale makamado watatu.

Zaidi sana tumshukuru Mama kwa huruma yake bado Mbowe na makamandoo wake wangefungwa si chini ya miaka 7 kwa kula njama.

Kesi hizi hazifutiki huwa zinaweza kufufuliwa tena pindi ushahidi zaidi ukipatikana. Tukumbuke Mbowe hakuwahi kutoa ushahidi aliokolewa na Rais.

unasubiri kama katika payukapayuka yao kwenye Blogs za Maria Sarungi hawajisahau watoe siri iongezee ushahidi.

Kazi iendelee
Mpuuzi weye!
 
IMG_3548.jpg

mwamba
 
Kama pamoja na madhila yote ya jeshi la polisi kwa wananchi hukuwahi kuwakatia tamaa ndio umekuja kukataa tamaa leo, basi utakuwa na uvumilivu sana, mimi nilishawakatia tamaa siku nyingi na huo uteuzi wa Kingai umezidi kuthibitisha sikukosea kutowaamini polisi.
 
Pole sana mtoa mada,katika viongozi wa jeshi la polisi ambao ni wachapakazi,waadilifu ma wanaofanya kazi kwa goodfaith basi kingai na Wambura huwezi waacha,mama amepatia kweli kweli jeshi la polisi litakuwa imara na lenye mafanikio mara dufu
 
Kingai anastahili sifa.

Makamandoo wa Mr. Mbowe walikuwa njiani kwenda kumuua Lengai ole Sabaya, wakakamatwa na Kamanda Kingai na Afande Jumanne pale Rau Madukani wakinywa mbege.

Bila hivyo wangemuua ole Sabaya na wangenyongwa, na Mbowe naye angenyongwa kwa ushahidi wa Afisa wa tigopesa.

Watanzania wamshukuru Kingai kuepusha balaa hilo, leo hii tungekuwa na misiba ya Mbowe na Sabaya na wale makamado watatu.

Zaidi sana tumshukuru Mama kwa huruma yake bado Mbowe na makamandoo wake wangefungwa si chini ya miaka 7 kwa kula njama.

Kesi hizi hazifutiki huwa zinaweza kufufuliwa tena pindi ushahidi zaidi ukipatikana. Tukumbuke Mbowe hakuwahi kutoa ushahidi aliokolewa na Rais.

unasubiri kama katika payukapayuka yao kwenye Blogs za Maria Sarungi hawajisahau watoe siri iongezee ushahidi.

Kazi iendelee
Sasa mbona hawakufungwa?
Unaonaje ukawafungulia kesi nyingine maana inaonekana unajua mambo
 
Hiyo hiyo kesi ya Mbowe ndo ilimpaisha
Mashtaka ya Mbowe yalikuwa halali kabisa na wengine tulilijua hilo kabla hata Mbowe hajatiwa korokoroni.
Unajua maana ya halali?
Hebu toa sababu za kuwa "kesi halali'
Ni vyema kuwa na tabia ya kutafakari kitu kuliko kukurupuka!
Tz tupo hapa tulipo kutokana na kuwepo kwa watu wenye ufinyu wa kufikiri kama wewe.
 
Heshima sana,

Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police .

Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote kuonyesha muelekeo ya Jeshi la police.

Naomba kusema inatosha sasa Katiba mpya ni muhimu kuliko jambo lolote.
Umekata tamaa kufanya nin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati huku Tanzania akina Kingai walipandiswa cheo huko Kenya ambako kuna Rais wa watu hali ni Tofauti.
 
Back
Top Bottom