Marekebisho ya sheria ya COSTECH inaweza kuathiri hata wanahabari

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Niliingia bungeni ku-observe CSOs, NGOs, watu binafsi ambao wamewasilisha mapendekezo yao kuhusu sheria na miswada ya sheria inayopendekezwa.

Hata hivyo Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria ilikuwa na watu wachache sana walioenda kutoa mapendekezo ambayo hasa yalilenga sheria ya COSTECH na madini. Interest yangu ni kwenye research.

Kwa mujibu wa sheria iliyopo, hata wanahabari wanaweza kuwa katika wakati mgumu wa kufanya Investigative Journalism, hata data journalism kwa sababu inaweza kumtaka kwanza asajiliwe kama researcher.

Mbali na watu wengi kutoona umuhimu wa research hali iliyofanya wachache washiriki lakini ni muhimu kujua tafiti ni kiini cha maamuzi bora na mipango endelevu than kufanya trial and error.

Mabadiliko yaliyoletwa na Serikali sio tu yatafanya tafiti ziwe specifically Serikali bali pia zitaweweka watafiti na subjects wa tafiti kitanzini.
 
Back
Top Bottom