Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.
Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna...
1-Tangu lini mtu anayelala mlango wazi usiku akawa mwenye furaha?
2-Tangu lini mtu akaufurahia Umaskini na kujivunia wingi wa Madeni?
3-Hivi tangu lini mtu mwenye umaskini wa kipato Njaa,Ukosefu...
Tukitaka Taifa letu liwe mahali salama, cha kwanza ni lazima liwe na uongozi mzuri. Na kazi ya kuhakikisha Taifa linakuwa na uongozi mzuri, ni la sisi wananchi.
Wananchi hatustahili kuwa chawa wa...
Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi...
Nafahamu tu:
(a). Nyongeza ya mishahara ilisimama mpaka tulipomaliza ujenzi wa barabara nchini - walitulia kimyaa;
(b). Kikokotoo kimepita - wao wametulia kimyaa;
(c). Nyongeza ya mishahara kwa...
HAMTAKI KUJIINGIZA KWENYE SIASA BASI ACHENI WALIOJIINGIZA WALE WAO NA WATOTO WAO
Na, Robert Heriel
Waacheni warithishane madaraka, waacheni wapeane vyeo. Mlitaka wafanyaje? Wao ni wanasiasa na...
wale wote wanaolalamika bei ya vyakula na nafaka imependa bei waziri ameamua kutoa kauli ya mwisho kuwa hakuna kufunga mipaka kwasababu ya bidhaa za nafaka kuuzwa nje ya nchi amesema niwakati wa...
Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.
Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.
Mwaka...
Tangu kuanza kwa mfumo vyama vingi Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, mchakato wa kutafita Rais umekuwa ukifanyika tangu Mwaka 1995 na unaendelea kila baada ya miaka mitano.
Tujikumbushe hali...
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G .
Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije.
Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali...
Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo...
Leo wataongea na vyombo vya Habari.
=================
Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi.
"Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz...
Gazeti la Mwananchi limenukuu kitabu alichoandika mtumishi wa Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani kikielza jinsi washirika wa Rais wa 11 wa Ufikipino Madam Carry Aquino alivyohujumiwa na washirika...
Ama kweli atakuwapo aliyeturoga.
Kwamba kuna wanaokenua watuhumiwa kuuwawa wakiwa mikononi mwa polisi?
Kwa hakika safari yetu kuelekea haki kwa wote ingali bado kuanza.
Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau...
Tangu Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuzungumzia suala Tozo la miamala naona kampeni kubwa inafanyika ndani ya CCM kutaka kumfukuza uwaziri Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kwa kile kinachoonekana...
IQ ya mtu mweusi ,maarifa, n.k, vinaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya Bara la Afrika ingawa si kwa kila nchi na si kwa kila kitu. Ila kwa ujumla, utagundua picha ni hiyo na inajidhirisha...
Wanabodi,
Mengi yamejadiliwa kuhusu jinsi ya kutatua tatizo la shirika la bima ya afya Tanzania NHIF kufilisika lakini je tuna taarifa za kutosha zinazoweza kutuwezesha kufanya maamuzi sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.