sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,634
- 11,696
Kama kwa miaka miwili mliweza
1. Kupasua miamba,
2. Ujenzi wa njia kubwa ya kuchepusha maji ardhini( diversion tunnel).
3. Sehemu ya kufua umeme( power house)
4. Ujenzi wa ukuta mkubwa wa bwawa.
5. Eneo la kupokelea umeme unapozalishwa( switch yard).
6. Power intake point.
7. Ujenzi wa barabara, madaraja na nyumba za wafanyakazi.( ikumbukwe hili lilikuwa pori)
8. Kuchimba na kujenga mabwawa manne.
9. Uchakataji wa mawe yanayotumika kutengeneza zege.
Haya yote mpaka kufikia Julai 2020 yalikuwa yamekamilika. Ni wazi kazi iliyobakia ilikuwa ndogo maana shughuli nzito ilishaisha.
Maana yake kulikuwa na uhakika wa kupata umeme 2022 kama ulivyoahidi na hapo tulikuwa 60% ila sasa zimeshushwa na kupandishwa tena na huyu wa sasa bwana January. Anasena alipokea 30% na yeye kafika 70%. Kifupi wao wamefanya kazi asilimia 10% ndio maana anasema itachukua pengine 2024 -2025. Kwa hesabu hii maana yake kila mwaka uwezo wao ni 10%.
Kama mliweza kupiga zaidi ya 60% kwa miaka miwili wakati hawa wengine kwa mwaka wanafanya kazi 10% tena ya kumalizia maana mzigo mlishaupiga kama ilivyoainishwa hapo juu, Basi Kalemani you deserve the best. Mungu alikuwa na maana yake kukutoa hapo maana kwa awamu hii usingeweza na ungeishia kuchafuka na kuonekana muongo.
Awamu hii ni ya kutafuta urais, sio ya kutumikia na kujenga nchi. Hawajui washike kipi waache kipi.