peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,833
- 21,466
Kikosi kazi kilisahau jambo Muhimu sana ambalo ni elimu za wagombea wa nafasi za kisiasa.
Ilitakiwa Ili uchukue fomu ya kugombea urais mgombea awe na PhD na Sio vinginevyo.
2. Kuchukua fomu ya kugombea ubunge mgombea awe na shahada ya pili na Sio vinginevyo
3. Kugusa fomu ya udiwani mgombea awe na elimu isiyopungua kidato cha sita na Kuendelea.
4. Kugusa fomu ya kugombea umeya au uwenyekiti wa Halmashauri mgombea awe na shahada ya kwanza na Kuendelea
5. Kugusa fomu ya kugombea uwenyekiti waserikali Za mitaa mgombea awe na elimu ya kidato cha nne na Kuendelea.
Kikosi kazi kiliacha makusudi kuelezea eneo hili au kilisahau?