MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 3,695
- 5,026
Wanajamvi ni muda sasa bwana huyu yupo kimya hasikiki wala haonekani. Wenye kujua habari zake watujuze Yu mzima wa afya au kuna masaibu anayapitia?
Dah kwahiyo Kuna kitu kaambulia Kwa jirani Nini?Alikua Kenya kwenye timu ya Ruto
Kama jambo halikuhusu kaa kimyaa SI vyema Kila mutu akajua wewe ziko pungufuWaulize chadema
Chadema inahusikaje ?Waulize chadema
Tunayo shida kamanda kuelimisha waleviChadema inahusikaje ?
Akili ndogoWaulize chadema
Si alirudi ujambazini kwenu au mmemfukuza?Waulize chadema
Wanajamvi ni muda sasa bwana huyu yupo kimya hasikiki wala haonekani. Wenye kujua habari zake watujuze Yu mzima wa afya au kuna masaibu anayapitia?
Waulize chadema
Yule jamaa mjinga Sana, angekomaa CHADEMA 2025 alikuwa anabeba jimbo Singida ila tamaa zikamponza.
Chadema ipi hiyo ?Yule jamaa mjinga Sana, angekomaa CHADEMA 2025 alikuwa anabeba jimbo Singida ila tamaa zikamponza.
Atabeba kupitia ccm