Askofu Shao: Watendaji wa Tume ya Uchaguzi wasiteuliwe na Rais ili Tume hiyo iweze Kutenda haki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,877
Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar amesema wanaipitia Ripoti ya Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla ili kubaini yaliyopendekezwa na namna yatakavyomsaidia Mwananchi wa kawaida

Askofu Shao amesema ni vema Watendaji Wakuu wa Tume ya Uchaguzi wakapatikana kwa ushindani Huru ili wakaweze kutenda haki badala ya kuwa Wateule wa Rais

Chanzo: ITV habari
 
Source ITV habari
Amesema vema na hizi ndio Pillars za Free and Independent Tume
 
Kuna yule Mbunge Mh Dr Askofu Mkuu Nabii & Mtume mfufua wafu atapinga.
 
Back
Top Bottom