Waziri wa mazingira Dkt. Jafo amesema kuna Ukame wa kutisha Katika baadhi ya maeneo hivyo kila mwanafunzi ahakikishe anapanda mti
Jafo amesema kwa mfano Longido na Kiteto mizoga ya wanyama wa...
Gazeti la Raia Mwema linaripoti kuwepo kwa Mawaziri wanaomzunguka Rais Samia..
Inasemekana kuna Mawaziri wanajipanga kwa Urais wa 2025 kwa Kusaka Pesa za kampeni Ughaibuni..
Ni vyema...
Serikali ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa Tsh. Bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na...
Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM.
Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu.
Miundombinu inaimarishwa na bila...
LWazee wanasema MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi.
.
_*Wazee wa...
CAPTION
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura, leo tarehe 28.10.2022 amemuapisha Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu CP Suzan Salome Kaganda baada ya kupandishwa cheo na...
Wakuu Kuna. sauti ya Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Mkoa wa Pwani Ramadhani Mlao akizungumza na Makatibu wa Vijana wa Mkoa wa Pwani.
Kuwaambia kuwa ametumwa na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa ndugu...
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema viongozi wa chama hicho wamekabidhi maisha yao mikononi mwa vyombo vya usalama kwa sababu wametishiwa kushughulikiwa na Vijana wa James Mbatia...
Ndugu wananchi, leo nakuja na mada ngumu kidogo.
Mazoea ya kitu hayahalalishi kwamba jambo hilo ni sawa. Linaweza kuwa tatizo lakini mazoea yakakufanya usione umuhimu wa kulitatua.
Tumekuwa...
Haki daima huwa ni ya asili ni vigumu kuzuia isidaiwe. Sheria ya maisha ya binadamu huonesha ukweli huo. Marekani walidhani kuwa kumuua Martin Luther King na Malcolm X watakuwa wamefanikiwa...
Mlioo karubi na Mhesimiwa Rais Samia mwambieni haya:
Dar maji imeshafikika lita 20 shilingi mia tano, watumiaji umeme kujipatia mkate wao hawana kazi
Sasa mwambieni sifa za Aweso za "NANI. KAMA...
Ni Mwaka mmoja na miezi saba sasa inatimia toka Mh. Samia Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi kubwa aliyofanya kwa kipindi hiki cha mwaka mmoja...
Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera nk ina shida ya maji ya Bomba?
Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima...
Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihudhuria kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri...
Bunge hili lililotokana na Uchafuzi Mkuu ndilo limetultea
Tozo lukuki
Mfumuko wa bei
Mkwamo miradi ya kimkakati
Mgao wa umeme
Wastaafu kutolipwa mafao
Wizi wa bando
Ongezeko la uhalifu
Utendaji...
Wakati idadi ya watumiaji wa huduma za fedha kwa simu za mkononi ikizidi kuongezeka, thamani ya miamala wanayoifanya inapungua kila uchao.
Ripoti ya robo mwaka inayoishia Septemba 2022 ya Mamlaka...
Mgororo wa uongozi ndani ya Chama cha NCCR- Mageuzi sasa unazidi kufukuta na sasa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia, kumtaka Kaimu mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini, amlipe...
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.