Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeshangaa sana kusikia kuwa Mgao wa Maji ni Kudra za Mwenyezi MUNGU. Binafsi NAPINGA KABISA kumtaja MUNGU Kwenye huu MGAO WA MAJI CCM ipo Madarakani kwa Miaka 60 Hakuna Chama chochote...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya...
5 Reactions
79 Replies
8K Views
Wiki ijayo ya Agosti 23 ni siku ya sensa ya watu na makazi, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa. Japo Sensa ni data collection of demographical data za kujua Tanzania tuko watu wangapi ili kuweza...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Hawa wawili walikuwa marafiki na Maalim Seif ameshafika hadi Chato nyumbani kwa Shujaa Magufuli Hawa wawili wameacha alama kwenye nchi Hayati Magufuli katuachia Bwawa la Nyerere SGR, Daraja la...
0 Reactions
9 Replies
618 Views
Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti. Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Samia Suluhu Hassan Jasusi wa diplomasia na Uchumi. Amekataa kuwa mrithi wa suala la uhaba na bei kubwa ya Sukari, miezi ya kiangazi Tanzania sukari huwa kama kaa la moto. Amegoma kabisa kuwa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Sisi Walokole huwa haturingishiani majengo ya Kanisa kwa sababu Tunajua ni mali ya familia ya mchungaji Nilimuuliza Hapa Abdul Mondo anamjua mwenye hilo Jengo? Jumapili ya Leo nataka kuwatia...
2 Reactions
12 Replies
953 Views
Akiwasilisha mapendekezo Juu ya Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso amesema baada ya kufanya mapitia ya muswada huo na kusikiliza...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Leo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa Msalato Dodoma akisema eti amesikia kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Samia anaenda China. Hivi kweli spika mzima unasema umesikia kwenye mitandao...
17 Reactions
55 Replies
5K Views
Wakuu habari za kazi. Mwezi July Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS Ilikadiria idadi ya watu Tanzania itakuwa Milioni 61.3 na Matokeo rasmi ya Sensa yaliyotangazwa na Rais baada ya sensa ni watu...
10 Reactions
92 Replies
6K Views
Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati ripoti ya NBS ya sensa ya watu na makazi iliyozinduliwa leo ikionyesha nchi ya Tanzania ina idadi ya watu zaidi ya milioni 61, hali ni tofauti kabisa katika nchi nyingi za Magharibi ambampo...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Kwa uchumi gani tulionao hadi tuamue kufungua maduka saa 4 Mambo ya usafi ni ya kila siku RC Makalla rekebisha hili
0 Reactions
8 Replies
721 Views
Hii itasaidia usimamizi mzuri wa Vyanzo vya huduma muhimu za jamii Maji na Umeme. Pia itaweka uratibu mzuri wa upatikanaji wa Nishati mbadala na Visima vya Maji huku mazingira yakilindwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Tumeona siku za karibuni Makamba badala ya kujitika kutatua matatizo makubwa yaliyoko kwenye Wizara yake yanayolalamikiwa wa wananchi kila mahali ikiwemo tatizo la kukatika kwa umeme, kuchelewa...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 uligubikwa na sintofahamu kubwa hadi kupelekea mchakato mzima kugubikwa na ukengemaji wa kuwaengua wagombea wa vyama mbadala na kuwapitisha wagombea wa CCM kwa...
0 Reactions
1 Replies
511 Views
Binafsi sijashangaa kabisa tukio la kuutangazia Umma matokeo ya Sensa kupitia mkutano wa hadhara Mazoezi ya Sensa hugharamiwa na UN so kama Chenji imebaki na ikaingizwa kwenye Mzunguko wa Fedha...
0 Reactions
7 Replies
580 Views
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom