Hello Jf
Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!
Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE...
Nani Mtetezi Wa kweli Wa yatima na mnyonge kwenye elimu ya Yetu.
Anayeweka mfumo Wa electroniki unayohitaji documents Ili yatima apate mkopo.
Au anayeanzisha scholarship Kwa jina la Raisi"Samia...
Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo...
Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za...
Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Anachokifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa watumishi wa umma na wengine, hakiwezi kupita bila kuungwa mkono.
Rais Samia amefanya mambo makubwa...
HAWA NDIO WATU WATANO WANAOUNDA KUNDI LA "WANAMTANDAO"
Asalaam aleykum,
Tumsifu Yesu Kristo,
Wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu marhaba.
Nichukue fursa hii kuwashukuru wasomaji wa...
Ijumaa, Oktoba 28, 2022
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kitazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo ya uzinduzi itafanyika Oktoba 30...
Kuanzia tarehe 28/08/2020 vyama vyama siasa nchini vilianza mikutano ya ufunguzi wa kampeni zake za kunadi wagombea Urais na ilani zitakozowaongoza katika kuwashawishi wapiga kura. Chama...
Nilianza kumfuatilia sana huyu mwamba nilipoona jina lake limeshika kasi, barabara za mikoani kwenye mawe makubwa na miti mikubwa waliandika jina la mwigulu wakimtaja kama Rais ajaye! binafsi...
Wakuu,
Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
========
UPDATE:
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa...
Unapokuwa chawa wa mwanasiasa ni kwamba huyo Boss wako unamfanya kuwa mungu wako na automatically unakuwa umevunja amri ya kwanza ya Mungu wa mbinguni isemayo "Mimi ndimi Bwana Mungu wako usiwe na...
Kuna mtu kanitonya yuko jikoni kiasi kwamba Sherehe ya jana bajeti ni Billon 6 sasa zimetumika tumika vipi mimi sijui ila hio ndio bajeti ndio pesa zimeteketezwa jana tu kwa masaaa kadhaaa, huku...
Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda.
Prof. Mkenda ameituhumu...
Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7...
Habari wakuu,
Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema...
Kuwa mbunge na Waziri Kwa miaka mingi, sio hoja!
Hoja ni nini umefanya katka nafasi zako hizo? Una record zipi ktk kulitumikia Taifa na hata upewe nafasi ya juu zaidi.?
Tuweni wakweli tu, Mh...
Wadau nimeshangazwa na nguvu kubwa ya bunge iliyotumika jana kwenye suala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
Suala la maji na umeme binafsi naliona ni tatizo kubwa ambalo linawakabili...
Jamaa mara baada ya kuwachanachana CCM, saa saba za mchana siku hiyo ya tarehe 7/9/2017 akapigwa risasi mchana kweupe. Mungu Mwenyezi alimnusuru na kifo yu hai leo, bila shaka huyu ndiye Rais...
Kwa mfano mzee JK bado ana nguvu basi alipenda kugombea Urais wa JMT aruhusiwe
Netanyahu ameshahudumu kwa miaka 15 kama Waziri mkuu wa Israel na sasa anagombea tena
Mungu wa mbinguni awabariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.