Sensa: Je, kuna ubaya kuwauliza watanzania their hopes & expectations of their government? Niko tayari kuhesabiwa, wewe je?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wiki ijayo ya Agosti 23 ni siku ya sensa ya watu na makazi, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa.

Japo Sensa ni data collection of demographical data za kujua Tanzania tuko watu wangapi ili kuweza kujipanga vizuri kimipango mkakati, je Kuna ubaya wowote kama katika hojaji za Sensa pia tukiwauliza watanzania, what are their hopes and expectations of their government? Ili serikali yetu ijue what are the general expectations za wananchi wake, wangetaka serikali yao iwafanyie nini, na wao wako tayari kuifanyia nini Tanzania?

Swali hili liwe as an optional question and not compulsory, ili kupima kiwango cha matumaini na matarajio ya watanzania kwa serikali yao, serikali yetu kupata a feedback from its people na serikali kujitathmini if it's going to meet it's peoples expectations. And if their expectations are too high or too great that can't be met, then tujue tunakwenda kwenye direction of despair!

Hii ni kwasababu hakuna utaratibu wowote rasmi wa ushirikishwaji wa wananchi kujua wanataka nini kwa nchi yao and their expectations of their government na wajibu wao kwa nchi yao na serikali yao. Ndio maana mpaka kesho bado tunakimbizana na kushikana mashati kulipa kodi, wakati kwa wenzetu wananchi wanakuwa proud kulipa kodi ili kodi hiyo itumike kutekeleza their expectations of their government.

Nimeishi kidogo nchi za wenzetu kama US, UK, France, Uswiss, Italy, na Sweden, katika majiji ya London, Paris, New York, Geneva, Rome na Stockholm. Maisha kule ni miongoni mwa nchi zenye the highest standards of living and the quality of life. Wananchi wa nchi hizo wanasema expectations zao kwa serikali yao, na serikali yao inawaambia ili kuyafanya hayo wanapaswa wawajibike kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi willingly. Huku kwetu mpaka kesho, bado tunakimbizana na kushikana mashati kulipa kodi wakati kwa wenzetu, mtu unajisikia proud kulipa kodi. Moja ya sifa ya uongozi ni kiongozi husika anavyolipa kodi.

Wenzetu wana health insurance for all, mwanamke ukipata ujauzito bila kuolewa/single mothers wanapewa child support. Ukitimiza the age of the majority ukimaliza shule ukakosa ajira ya kuendeshea maisha yako unalipwa unemployment benefits, social security ni kwa wote. Ukitimiza umri wa miaka 80 unakuwa ni senior citizens, ulipwa mafao ya uzeeni na kutunzwa na serikali mpaka pale Mungu atakapo kuita. Yote hayo yanawezekana kutokana na kuwa na uchumi Imara. sisi Tanzania tuna kila kitu cha kutuwezesha kufikia kiwango hicho.

Tanzania tuna watu wengi wa kutosha, tuna ardhi nyingi tuu ya kutosha yenye rutuba, ardhi hiyo ina vyanzo lukuki vya maji, ina madini na maliasili za kutosha, tuna siasa safi na uongozi bora chini ya Mama Samia, sasa tunakwama wapi? Kwa maoni yangu kutokana na uzoefu wangu wa exposure niliyo ipata kwa kuishi nchi za wenzetu, kitu pekee kinachotukwamisha Tanzania ni hatuna smart objectives kwenye mipango mkakati yetu ya kitaifa na hatupeani mrejesho ili kuona tulikwama wapi. Tulikuwa na MKUKUTA, MKUZA, MKUMBITA, MKURABITA, KILIMO KWANZA, MATOKEO BORA sasa tuna DIRA 10/30, je mipango hii ina smart objectives?

Natolea tuu mfano mdogo wa ununuzi wa ndege na ujenzi wa reli ya SGR, hili ni jambo jema sana. Kabla ya reli ya SGR, tuna reli ya kati na reli ya TAZARA, both ziko under utilised! Kwa nini? Kama tumeshindwa kukitumia kikamilifu hiki kidogo tulichonacho na kukimbilia kujenga kikubwa, hiki kikubwa kitabeba mzigo kutoka wapi ili kizalishe kwa faida?

Wachumi wanaojua kufanya hesabu za multiplayer effects za fedha zilizotumiwa kwenye miradi hiyo miwili kama zingezamishwa kwenye sekta ya kilimo, wapi zingezalisha multiplayer effects kubwa?

Wenye nchi ni sisi, kwa Kizungu wanasema "It's we the people", hivyo we have all the rights to express our expectations kwa serikali yetu and demand anything from our government na serikali ije na majibu ikiwemo wajibu wa sisi kutimiza ili tutekelezewe.

Mimi mwenzenu Mzalendo Pasco Mayalla, na familia yangu, tuko tayari kuhesabiwa, Vipi Wewe msomaji wangu?

Natoa wito, Agosti 23, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wote kwa wahesabuji ili kuhesabiwa!.
Mungu Ibariki Tanzania
Wasalaam
Paskali
 
Natoa wito, Agosti 26 tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wote kwa wahesabuji ili kuhesabiwa.
Mungu Ibariki Tanzania
Wasalaam,
Paskali.​
Sensa ya watu na makazi ni tarehe 23 agosti 2022, ila kwa kiwa zoezi hili ni kubwa linaweza kuchukua siku zisizozidi sita.

Hata hivyo hoja zako ni nzuri ila unaiambia serikali hii hii ya Tanzania ninayoijua? Nchi ya kupika takwimu?

Swali la hopes and expectations lingekuwepo naamini takwimu zake zingepikwa tu ili ionekane serikali inapendwa na ipo kwenye right directions. Suala la takwimu ni changamoto.

Suala la SGR upo sahihi. Serikali ya Tanzania ina changamoto sana kwenye suala la utunzaji, uendelezaji na usimamiaji wa miradi na rasilimali za nchi.

Lakini hata kama swali la hopes and expectations linvekuwepo maybe bado ni ngumu kupata maoni sahihi ya kitakwimu kwa sababu kuu mbili:
1. National consciousness ipo chini mno, kiwango cha watanzania kufikiri ni mdogo ambapo wamezoea kuzingatia mambo ya ovyo (mipira, udaku nk.), hawajui mambo ya msingi ni yapi.
2. Usiasa: wanzania hususan vijana wamekuwa mashabiki na machawa ambapo wanategemea kulamba wanasiasa miguu ili waishi (kupata promotion), kwa ufupi njaa ya tumbo imehamia kichwani ambapo wao wapo kwenye mkumbo wa "sifia nile."

Hakuna kitakachofanyika kwa jamii ambayo haina ujasiri, haina fikra, imekithiri ujinga na ina uwezo haba wa kufikiri.

Congratulations
 
Wiki Ijayo ya Agosti 23 ni siku ya sensa ya watu na makazi, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa.

Japo Sensa ni data collection of demographical data za kujua Tanzania tuko watu wangapi ili kuweza kujipanga vizuri kimipango mkakati, Je Kuna Ubaya wowote kama katika hojaji za sensa pia tutawauliza Watanzania, what are their hopes and their expectations of their Government?ili serikali yetu ijue what are the general expectations za wananchi wake, wangetaka serikali yao iwafanyie nini, na wao wako tayari kuifanyia nini Tanzania?.

Swali hili liwe as an optional question and not compulsory, ili kupima kiwango cha matumaini na matarajio ya Watanzania kwa serikali yao, na serikali yetu kupata a feedback from its people what are their expectations na serikali kujitathmini if it's going to meet it's peoples expectations, and if their expectations are too high or too great expectations, that can't be met, then tujue tunakwenda kwenye direction of despair!

Hii ni kwasababu hakuna utaratibu wowote rasmi wa ushirikishwaji wa wananchi, wanataka nini kwa nchi yao and their expectations of their government na wajibu wao kwa nchi yao na serikali yao, ndio maana mpaka leo mpaka kesho bado tunakimbizana na kushikana mashati kulipa kodi, wakati kwa wenzetu wananchi wanakuwa proud kulipa kodi ili kodi hiyo itumike kutekeleza their expectations of their government

Nimeishi kidogo nchi za wenzetu, US, UK, France, Uswiss, Italy, na Sweden, katika majiji ya London, Paris, New York, Geneva, Rome na Stockholm, maisha kule ni miongoni mwa nchi zenye the highest standards of living and the quality of life.

Wananchi wa nchi hizo wanasema expectations zao kwa serikali yao, na serikali yao inawaambia ili kuyafanya hayo wanapaswa wawajibike kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi willingly.

Huku kwetu mpaka leo mpaka kesho, bado tunakimbizana na kushikana mashati kulipa kodi wakati kwa wenzetu, mtu unajisikia proud kulipa kodi. Moja ya sifa ya uongozi ni kiongozi husika anavyolipa kodi.

Wenzetu wana health insurance for all, mwanamke ukipata ujauzito bila kuolewa, single mothers wanapewa child support, ukitimiza the age of the majority ukimaliza shule ukakosa ajira ya kuendeshea maisha yako unalipwa unemployment benefits, social security ni kwa wote. Ukitimiza umri wa miaka 80, unakuwa ni senior citizens, ulipwa mafao ya uzeeni na kutunzwa na serikali mpaka pale Mungu atakapo kuita.

Yote hayo yanawezekana kutokana na kuwa na uchumi Imara. Sisi Tanzania tuna kila kitu cha kutuwezesha kufikia kiwango hicho.

Tanzania tuna watu, wengi wa kutosha, tuna ardhi nyingi tuu ya kutosha yenye rutuba, ardhi hiyo ina vyanzo lukuki vya maji, ina madini na maliasili za kutosha, tuna siasa safi na uongozi bora chini ya Mama Samia, sasa tunakwama wapi?.

Kwa maoni yangu kutokana na uzoefu wangu wa exposure niliyo ipata kwa kuishi nchi za wenzetu, kitu pekee kinachotukwamisha Tanzania, ni hatuna SMART objectives kwenye mipango mkakati yetu ya kitaifa na hatupeani mrejesho ili kuona tulikwama wapi. Tulikuwa na MKUKUTA, MKUZA, MKUMBITA, MKURABITA, KILIMO KWANZA, MATOKEO BORA sasa tuna DIRA 10/30. Jee mipango hii ina SMART objectives?.

Natolea tuu mfano mdogo wa ununuzi wa ndege na ujenzi wa reli ya SGR, hili ni jambo jema sana, kabla ya reli ya SGR, tuna reli ya Kati na Reli ya Tazara, both ziko under utilised!. Kwa nini?. Kama tumeshindwa kukitumia kikamilifu hiki kidogo tulichonacho na kukimbilia kujenga kikubwa, hiki kikubwa kitabeba mzigo kutoka wapi ili kizalishe kwa faida?.

Wachumi wanaojua kufanya hesabu za multiplayer effects za fedha zilizotumiwa kwenye miradi hiyo miwili kama zingezamishwa kwenye sekta ya kilimo, wapi zingezalisha multiplayer effects kubwa?.

Wenye nchi ni sisi, watu Kizungu wanasema It's "We the People", hivyo we have all the rights to express our expectations kwa serikali yetu and demands anything from our government", na serikali ije na majibu ikiwemo wajibu wa sisi kutimiza ili tutekelezewe.

Mimi mwenzenu Mzalendo Pasco Mayalla, na familia yangu, tuko tayari kuhesabiwa, Vipi Wewe msomaji wangu?

Natoa wito, Agosti 26, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wote kwa wahesabuji ili kuhesabiwa!.
Mungu Ibariki Tanzania
Wasalaam
Paskali
Pascal Mayalla, serikali ya CCM haimuwazii jema Mtanzania wa chini.
 
Calculation za sensa zipo hivi! Kila swali moja gharama yake ni billion 3 kwa wakati tulio nao. Je, unaona ni muhimu kuuliza hilo swali badala ya kujenga km moja ya lami?
 
Nianze na ushauri katika maandishi yako; wewe ni senior, msomi na nguli kabisa katika taaluma ya habari. Ni vema unapoandika uandike kwa lugha fasaha na kwa usahihi. Ukiamua kutumia Kiswahili tumia Kiswahili na ukiamua kutumia kingereza tumia kingereza. Kuchanganya lugha Kama ulivyofanya kunadogosha hata ubora wa maoni yako. Huu ni mtazamo wangu hasa katika kukuza lugha yetu

Nikirudi kwenye hoja yako ya msingi. Madhumuni ya Sensa yamejikita katika kukusanya takwimu na taarifa mbalimbali za watu na makazi nchini pasipokuhusisha maswala ya kisiasa.

Hoja ya kukusanya maoni ya mategemeo ya wananchi kwa serikali yao yanatakiwa yatanguliwe na elimu ya uraia Kwanza kwa wananchi

Na kitu kingine cha muhimu kabisa ni watu Kama wewe kuanza ushawishi mapema na kupenyeza mjadala Kama huo kwa idara na taasisi mbalimbali zinazohusika na uandaaji wa Sensa moja kwa moja mapema kwa maandalizi ya Sensa zijazo
 
.Sisi Tanzania tuna kila kitu cha kutuwezesha kufikia kiwango hicho.

Tanzania tuna watu, wengi wa kutosha, tuna ardhi nyingi tuu ya kutosha yenye rutuba, ardhi hiyo ina vyanzo lukuki vya maji, ina madini na maliasili za kutosha, tuna siasa safi na uongozi bora chini ya Mama Samia, sasa tunakwama wapi?.
Umeandika uongo wa kisiasa
Tanzania kama kuwa n kila kitu cha kufanya tuendelee kuwa na raslimali lukuki na uongozi mzuri na siasa nzuri pekee hakuifanyi nchi kuendelee

Nchi kuendelea unatakiwa uwe na teknolojia ndio muhimu kuliko vyote.Nchi zote zilizoendelea zimeendelea sababu wana teknolojia Nchi zao Hazina mali ghafi wala Madini wala Ardhi nzuri lakini sababu wana teknolojia za hali ya juu nchi zao zimeendelea.

Na teknolojia Hawako tayari kuuza hata uwe na mapesa kiasi gani teknolojia zao.za juu wamezipiga copyright za uhakika kuhakikisha huchukui wala kuiga

Huu wimbo wa ohh tuna kila kitu lakini hatuendelei ni wimbo wa siasa za kilaghai wa kiwango cha juu
 
Sensa hai-make sense kwa sasa believe me. What are we doing the census for? Nothing will change, the stats that are going to be announced will be unrealistic. Naamini zoezi kwa asilimia kadhaa litafeli.

Wengi hawatahesabiwa na hata wakihesabiwa haitawasaidia chochote katika maisha yao kama bado tuna serikali mbovu kama hii.

Naenda Burundi. Sio Zimbabwe.
 
Pasco unauliza as if hujui whats going on! Hopes and expectations lies in the hands of sisiem na washirika wake!! We tulia,hesabiwa pita hivi!! Hopes and expectations zako utaambiwa 2025 kwenye kampeni!! They know your hopes and expectations more than you do!! Crazy world
 
Sensa hai-make sense kwa sasa believe me. What are we doing the census for?
Huelewi sensa nini? Inasaidia kujua mfano shule ngapi za msingi na secondary zinahitajika ,Hospitali na vituo vya afya vingapi zinahitajika na madaktari na manesi wangapi yanahitajika nk

Expectation za public sector hujulikana kupitia sensa.Hata wasiposema
Mfano unakuta asilimia kubwa hawana kazi unajua mlengo unatakiwa kuelekezwa huko nk

Kuna ukusanyaji takwimu na zikikusanywa hutafsiriwa .Sio zinakusanywa tu!!
 
Mzee hivi unaniona mimi ni kilaza sana au? Hapa nilipo na persue doctrate yangu hapa MIT. Ni mtu ninae jitambua. Kujenga hizo health centers au hospital ambazo ukienda hata pain killers hawana, hata xrays hawana kutamsaidia nini mwananchi? Au unakuta hospital haina hata daktari ni manesi uchwara tu. Inamsaidia nini mwananchi?

Majengo sio tija. Tija ni huduma. Kama hospital zilizopo tu mtu anaenda ni emergency case anakaa masaa hajahudumiwa mpaka anafia mapokezi kuna nini hapo?

Kujenga shule nyingi na walimu hawana maslahi mtoto anamaliza form four hata jina lake hawezi kuandika
Expectations za public sector? Ajira? Unaifahamu hata rate ya uneployent Tanzania mzee au unaongea tu?

Kiujumla census haimsaidii chochote Mtanzania wa hali ya chini. Census ni mchongo haramu tu.

No substance.
 
unaniona mimi ni kilaza sana au? Hapa nilipo na persue doctrate yangu hapa MIT. Ni mtu ninae jitambua. Kujenga hizo health centers au hospital ambazo ukienda hata pain killers hawana, hata xrays hawana kutamsaidia nini mwananchi? Au unakuta hospital haina hata daktari ni manesi uchwara tu. Inamsaidia nini mwananchi?

Majengo sio tija. Tija ni huduma. Kama hospital zilizopo tu mtu anaenda ni emergency case anakaa masaa hajahudumiwa mpaka anafia mapokezi kuna nini hapo?

Kujenga shule nyingi na walimu hawana maslahi mtoto anamaliza form four hata jina lake hawezi kuandika
Expectations za public sector? Ajira? Unaifahamu hata rate ya uneployent Tanzania mzee au unaongea tu?

Kiujumla census haimsaidii chochote Mtanzania wa hali ya chini. Census ni mchongo haramu tu.

No substance.
Kama uko MIT nawahurumia wamepata mtu asiyejielewa na ambaye kichwani mweupe

Swali dogo tu utafiti wa yote uliyoongea hapa waweza weka source zake za hizo takwimu ambazo ni reliable ku justfy uliyooongea?
 
Mpaka nimepata hiyo nafasi mkuu ina maana niko vizuri. Anyways haihitaji utafiti kuthibitisha niliyoandika kwakuwa ndio hali halisj iliyopo nchini Tanzania. Sema nchi imejaa pia mazombie yasiyojielewa wao kila kitu kushangilia tu.
 
kwa wenzetu, mtu unajisikia proud kulipa kodi. Moja ya sifa ya uongozi ni kiongozi husika anavyolipa kodi.
Hapa Tz suala la kulipa kodi ni kitendawili kigumu. Ni mfumo ambao haupendwi na watu kutokana na usiri na matumizi ya hovyo ya hizo kodi.

Ukiona hata wabunge wanaotunga sheria na kuhimiza vyanzo vya mapato hawakatwi kodi na hawaoni kwamba ni vibaya, basi jua kwamba kuna walakini kwenye matumizi ya hizo kodi.
 
Ni data nzuri kwa ukuzaji vipaji, ila ni vyema tukafahamu kuwa sensa inatoa msingi wa takwimu ambao utasaidia serikali na wadau kufanya tafiti nyingine kama hizo unazozungumzia , kupitia sensa utatoa sampuli ya watu wangapi uwafanyie tafiti kisha ujenelize matokeo.

Vile vile tukumbuke kuwa sensa kufanya inahitaji gharama kubwa ndio maana ni baadhi tu ya maswali yatahusishwa kutokana na demand yao
 
Shida ni kuwa MIT au shida ni hoja? Mbona unakuwa mwepesi sana?
Una Hoja gani wewe bila takwimu Walsh citations za reliable published source?
You talk like a parrot kuliko.hata mswahili wa uswahilini You don't have statistics to back up your allegations !!

Msomi hata wa chuo diploma cha kata cha Tanzania hawezi ongea kama wewe bila citations za statistics highly reliable .Unaonyesha hata mlango wa chuo kikuu full time hujui hata ,unanafanyaje ! Your talk is too low .It just shows your stupidity
MIT vinaenda vichwa sio wajinga kama wewe ambao hata wakiongea uwezo wa ku back hoja zao kwa citations reliable published hawana wanaongea kama wehu kwenye kijiwe cha kahawa cha Chadema
 
Ipo hoja ila tatizo ni utekelezaji wa hizo hopes and expectations.

Kila administration inakuja na mambo yake.
 
Sizani kama miaka yote 62 ya uhuru serikali imeshindwa kusikikiza hopes na expectation za wananchi watawahi hata siku moja kuja kusikiliza.

Viongozi wetu wao ni watu wa amri tuu hakuna participatory leadership. Mfano tuna hope umeme usiokatika, wabunge wachache, Katiba mpya, accountable executives lakini hakuna mfumo rasmi wa kusikiliza hopes na expectation za wananchi. Mfano sasa hivi watu wengi wanaamini watu hawafanyi kazi ila wamebaki kuigiza.
 
Back
Top Bottom