Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.
Subira Mgalu...
Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous.
Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka...
Mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa sasa CCM ipo chini ya Samia ambaye pia ndio Rais wa JMT.
Kwa utaratibu waliojiwekea CCM ingawa haupo kwenye katiba ya chama au kanuni nyingine, mtu akiwa kwenye...
Hi!
Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo.
Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani.
Furaha ya wananchi ilikuwa...
Sijui Mimi ndio sielewi au ndio utaratibu au ni ujinga wetu wa kiitifaki Africa?
Unakuta kiongozi anapanda kwenye podium wanatumia dakika mpaka 10 kutambuwa itifaki wakati hotuba yake yenyewe ni...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametoa msimamo wa chama chake, akisema kikifanikiwa kushika dola, lugha itakayotumika ni Kiingereza ili kuondoa alichokiita...
Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22.
Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000.
Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu.
Wananchi...
Leo ni ile siku tuliyokua tunaisubiri kwa hamu kujua matokeo ya sensa kwa maendeleo ya jamii matokeo haya ya sensa yametoka mapema zaidi ukilinganisha na miaka mingine kwasababu ya kutumia mfumo...
Ukiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za...
Hali ya maisha imekuwa tait mno, kila kitu kinapanda bei bila mpangilio, mkumbuke hii nchi ni yetu sote.
Waziri nape upo wapi haya yanapofanyika? Pamoja na kwamba unachokiburi cha kuwa unajiamini...
Nchi yetu imefikia hatua sera ya nchi inaweza kutungwa ili kutatua matatizo ya familia ya waziri. Inasadikiwa Mungai alikuwa na watoto walioshindwa Sayansi ya sekondari, akaamua kuyaunganisha...
Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la dunia, kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na athari nyingi ikiwa ni pamoja na ukame unaokumba nchi nyingi duniani. Baadhi ya nchi kwa sasa...
Ipo siku huyu Rais wa Yanga atakuja kuongoza Tanzania mzima nina maana kuwa Rais wa Tanzania
MUNGU awape tu uzima
Maana kinachotafutwa hapa sio uongozi wa Yanga bali ni njia ya kupitia ili afikie...
Salaam Wakuu,
Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni...
Uzi huu ni maalumu kuonesha Marais wetu walivyowai kunasa kwenye mtego wa kufuja fedha za umma kwa kuutangazia umma yakuwa wanawasaidia makundi fulani mwishowe pesa hizo uishia kupigwa na...
Ifike pahala labda itoshe tuu kuwajua wanao tuhujua hata kama hamna kitu tunaweza kuwafanya. Nafsi zetu ziwanung'unikie tuu watalipwa mbele kwa mbele.
Najiuliza ni pesa ngapi zimetumika kuandaa...
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.
Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM...
Najua wengi wanadai Sera ya Majimbo italeta ukabila
Lakin Watu milioni 61 ni wengi sana
Je, huu siyo wakati muafaka CCM ikachukua Sera hii ya CHADEMA na kuifanyia kazi?
J3 Ubarikiwe sana!
Wakuu,
Nimesoma katika magazeti kadhaa Kwa kipindi Cha hivi karibuni habari kuhusiana na ukame unaotokana na mabadiliko Tabia ya nchi ambayo pamoja na mambo mengine yanasababishwa Kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.