Maoni haya yanawasilishwa kwa pamoja na taasisi zifuatazo;
1. Jamii Forums (JF)
2. Tanganyika Law Society (TLS)
3. Legal and Human Rights Centre (LHRC)
4. Tanzania Mobile Network Operators...
Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada.
October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi.
October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki...
Ni wazi matatizo yanayoikumbuka Tanzania kwa sasa ni matokeo ya Hayati Magufuli kuufifisha upinzani huku aliamini ni salama kwake hadi hapo angemaliza Utawala wake pasiwepo wa kumsumbua...
Nakumbuka Mwaka 1970 Wafanyakazi wa Shirika la reli waligoma kisa tu Viongozi walikuwa wanapata mkate wenye siagi na wao walikuwa wanakunywa chai na mkate. [emoji23][emoji23][emoji23] solution la...
Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion.
Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m =...
Nimepita Nsalaga hapa namuona Mr. Two Maarufu kama Sugu akiwa na kundi kubwa la Vijana wakiwa wamezingira gari huku wakimuita Mbunge, Mbunge, Mbunge.
Hata wale wenye bajaji zilizoandikwa Tulia...
Hivi angeitisha tu Press conference pale Ikulu kwa ajili ya kuutangazia umma kilichomo kwenye taarifa ya sensa akiambatana na maafisa wawili watatu wa takwimu na Msemaji wa ikulu KUNGEKUWA NA...
Let's assume kuwa SSH ana nia ya dhati ya kuiletea maendeleo Tanzania na anataka kumantain speed ya utekelezaji wa miradi kama kipindi cha mwendazake ila anakwamishwa na wasaidizi wake ikiwemo...
Mkuu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Aldin Mutembei, amesema, ziara ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaendeleza uhusiano kati ya nchi hizo...
Yule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndio walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndio anawazidi kwa akili zake...
Charles D. B. King - Wikipedia
TIL Former Liberian President, Charles King, is listed in the Guinness Book of Records for the most fraudulent election reported in history, having won the 1927...
Kuna wananchi wengi tu, maarifu na wasio maarufu, wanasiasa na wasio wanasiasa , wasomi na wasio wasomi n.k , n.k tumewahi kushauri serikali yetu hii mambo mengi ya msingi na ya kujenga katika...
Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni.
Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa...
TAARIFA KWA UMMAH
Leo Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Arusha Mjini imekaa kwa madhumuni ya kuwachagua wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Arusha.
Naiona hila, upambe na maelekezo ya GAMBO, KATIBU WA...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.
Kama watanzania tunadhani ni viongozi...
Pamekuwepo na malalamiko kwanini kila Mwaka kunakuwa na michango ya Ujenzi wa madarasa na Ununuzi wa Madawati.
Binafsi nilishangaa mwaka 1977 nilichangia Ujenzi wa madarasa pale Shule ya Msingi...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema ni jukumu la Watanzania wote kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa...
Mh, Rais ameshatoa Takwimu sahihi za sensa kulingana na vyanzo mbalimbali na utaratibu uliofuata, Sasa kilicho Baki ni jukumu la Serikali kuhakikisha inapanga bajeti yake kulingana na idadi ya...
Nakumbuka kisa cha yusuf.u wa bibilia kule misri ambapo mfalme aliota ndoto ile ambayo ilimshinda tafsiri,baada ya ndoto ile kujirudiarudia ndipo kukaonekana haja ya kumpata mtu atakae weza...
Habari hii nimeikopi sehemu..
TUNACHEKWA NA DUNIA NZIMA!!
Tumekuwa kicheko cha Dunia. Tunachekwa na kila mtu mwenye akili timamu kwa sababu sisi wenyewe tunachekesha.
Piga picha unamsimulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.