Tungekuwa na Wizara ya Nishati, Maji na Mazingira na Waziri awe Makamba, akina Aweso na Jafo Manaibu Waziri

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,834
Hii itasaidia usimamizi mzuri wa Vyanzo vya huduma muhimu za jamii Maji na Umeme.

Pia itaweka uratibu mzuri wa upatikanaji wa Nishati mbadala na Visima vya Maji huku mazingira yakilindwa kwa asilimia 100.

J4 Ubarikiwe sana!
 
Back
Top Bottom