Kagera : Wavuvi waliookoa Wahanga wanyimwa nafasi ya kutoa salamu za Rambi rambi , ila Mwenyekiti wa CCM Mkoa kapewa nafasi hiyo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Leo kwenye shughuli za kuwaaga Wahanga 19 waliofariki kwenye ajali ya Ndege huko Kagera , kuna kitu kimenishangaza sana !

Kwenye ratiba ya kutoa rambi rambi hakukuwa na nafasi ya Mwakilishi wa Wavuvi , hawa ndio walipata uthubutu wa kuokoa Wahanga na kutumia Mashua zao duni na kamba za bei rahisi kuvuta ndege hadi ufukweni .

Mwenyekiti wa ccm wa Mkoa huo ambaye ni miongoni mwa WALIOSHIKA KIUNO pembeni ya ajali bila msaada wowote ndiye aliyepewa nafasi ya kutoa neno la rambi rambi , Huyu anapewa nafasi kama nani ? anahusikaje na masuala ya kitaifa ?

Badala ya kuwatambua Mashujaa wetu wavuvi , tunawapa nafasi watu wasio na msaada wowote ! Tumelogwa na nani ?

AMA KWELI TENDA WEMA NENDA ZAKO .
 
Mkuu
Ulitegemea wavuvi wapewe nafasi?

Na sibure utakuta wapo huko pembeni wanatishiwa lazima wavae kijani siku akija mwenyekiti mkuu kwa ziara.

Mkuu wa mkoa alitoa taarifa kuwa wanawasiliana na cocpit yaani marubani huku juhudi za kuwaopoa zikiendelea...

Tuna aibu zetu lakini hii ni too much
 
Of course upo sahihi.

Ila pia tunafahamu kuwa hao wavuvi waliojituma kuwaokoa wahanga hawakuwa na motivation nyingine yeyote kufanya hivyo zaidi ya kwamba walikuwepo kwenye tukio na waliona wanaweza kusaidia kwa talanta zao na uzoefu wao mbalimbali. Hawahitaji umaarufu wowote.

Hayo ya wanasiasa kuwapa mikono wafiwa si ndio nyie (jamii) mnawapa hizo fursa? Mkipanga mambo yenu, menginehata hayawahitaji wanasiasa lakini bado mnawaalika, mnataka wafanyeje sasa?
 
Umenikumbusha upumbavu wa Lema alivyolalamika kuongea msibani kwenye msiba wa wanafunzi wa Lucky Vicent. Yaani CHADEMA mna mambo ya kipumbavu sana. Hapo ndo tayari agenda mmepata. Acheni siasa msibani. Siku mkishika dola makamanda wote mtakuwa mnajipa nafasi ya kuongea misibani... pumbavu sana.
 
Siyo chadema ni ccm
 
Back
Top Bottom