https://www.jamiiforums.com/threads/2037765/#post-44241942
""Yanahitajika mabadiliko ya fikra tu;Wananchi wakiwa na fikra chanya, matokeo yake vyombo vya dola, wanasiasa na viongozi watabadilika...
Kama mnadhani swala la Mvua ni hapa Tanzania tu Mapema leo Rais wa falme za Kiarabu (UAE) amewaomba waumini wote wa dini ya kiislamu kufanya Sala ya Istiqama kwa ajili ya kuomba Mvua siku ya...
Tuna silaha za moto kuua watu kwenye Mbuga za wanyama kisa walienda tu kuwinda swala.
Tuna Magari ya TRA (land cruiser) mipakani kuwakamata vijana wanabeba sukari kg 20 kutoka nchi moja kwenda...
Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende!
Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu!
Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti...
Kampuni za simu wanapandisha gharama za kununua MB kila leo bila taarifa
Kuna nini lakini?
.
Pesa hakuna wafanybiashara wanapandisha bei za bidhaa na huduma kila siku
.
Tumekosa nini sisi...
Wakuu haya Maoni yangu kuhusu shughuli za uokoaji.
1. Kwa hali ilivyo sasa hivi utegemezi wa Jeshi la Zimamoto pekee hautoshi kwenye majanga yanayohusisha ndege.
Inashauriwa tuwe na mfumo wa...
Mkoa wa Kagera una Vikosi vya Majeshi
Mkoa wa Kagera una Magari ya Jeshi makubwa
Mkoa wa Kagera una Mitambo na Matreka makubwa
Vyote hivyo vingekusanywa Eneo.la TUKIO na KUIVUTA ile NDEGE nina...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi...
Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji...
Nimeona Mapokezi ya Katibu mkuu wa Chadema mheshimiwa John Mnyika pale Morogoro na baadae Songwe na Rukwa, kiukweli amepata Mapokezi ya heshima na makubwa
Kinachonishangaza Mnyika ana ushawishi...
Habari za kazi ndugu wadau.Napendekeza CAG aondolewe kwenye mfumo na nafasi yake ichukuliwe na wizara zenyewe ziwajibike kwa bunge.
Ofisi ya CAG kwa sasa imejiingiza kwenye ufisadi na hakuna...
Magufuli achafua hali ya hewa Dar
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amechafua hali ya hewa na kuingia kwenye mgogoro na wakazi wa Kigamboni, Dar es Salaam baada ya kuwaeleza kuwa ni lazima...
Kufuatia sakata la Bodi ya Mkopo linaloendelea Bungeni, Mbunge huyu amemtaka Waziri wa Elimu kujiuzulu kwa kosa la kulidanganya Bunge huku akishangiliwa na wabunge wengi.
Hii inafuatia ripoti...
Naona ameshaanza kutema cheche viongozi mbalimbali wenye ukwasi usioeleweka wameshaanza kuhofia akaunti zao na mali nyingine zilizopatikana kwa miujiza!
Kiujumla rais anayebana matumizi na...
UBADHIRIFU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KYELA (KYECU), NA UVUNJAJI NA UKIUKAJI WA MIONGOZO YA VYAMA VYA USHIRIKA
Mimi ni mdau na Mkulima wa Kakao katika Wilaya yetu Kyela, Mkoani Mbeya. Kutokana...
RC Chalamila kwa niaba ya Waziri mkuu amempa Kiongozi wa waokoaji wa ndege ya Precision Air ambaye ni mvuvi zawadi ya tsh 1,000,000 ( milioni Moja)
Chalamila amesema pamekuwepo na mkanganyiko wa...
Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani
Jamhuri October 26, 2021
Na Deodatus Balile
Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono...
Kwanza napongeza Kwa kumpa ajira hiyo mliyo mpa.
Mh Raisi Mimi sifileo mwaka 2021 nilibahatika na kuvuka maji kutoka mwanza mpaka ukerewe,baada ya ukerewe nikaenda mpaka kisiwa Cha Ghana, baada ya...
"MH JAJI , NAOMBA TURUDI KULE KWENYE CHAMA TUKAJADILI TUKAYAMALIZE " Hivi ndivyo alivyoomba Msaliti Nusrat Shaban Hanje baada ya kushindwa kuthibitisha namna alivyopelekewa fomu gerezani na...