Bunge lako limevitaka vyuo vikuu ambavyo vina wanafunzi waliodahiliwa na hawajapata mikopo lakini wameomba na wana sifa za kupata mikopo, wawapokee wanafunzi hao na kuiagiza serikali ifanye...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kesho Tarehe 8/11/2022 kitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Nje ya Jiji la Dar es Salaam, huko Kinondoni, Mtaa wa...
Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
Tukio la Bukoba limenikumbusha vifo vya kuogelea vilivyochukua maisha ya Stewart na Antony miaka ile ya 1980
Stewart alifia Bwawa la Kinondoni karibu na Mahakama na Jirani na ghorofa la mama...
Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa...
Barua hii ni ya wazi Kwa Mh Rais wa Tanzania!
Nianze Kwa kutoa pole Kwa wahangabwote wa ajali ya ndege, pili nitoe kongore Kwa wajomba na Baba zangu Wana kagera Kwa wokozi wao hakika...
Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China.
Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe...
Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa
================
Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto...
Salamu wadau.
Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby akichangia Bungeni leo amesema huko Mtaani Watu wanaamini Serikali ya awamu ya 5 ilikuwa inaendesha miradi Bila kukopa.
Amesema huu ni uongo na kwamba...
Wabunge wamehoji iwapo Umeme huu unakatikakatika kila siku utaweza kuendesha treni ya Umeme
Pili, ni Umeme huu unakatikakatika ndio tutakaouza Nje ya nchi?
Dr Mwigullu Nchemba anategemewa...
NA. GULATONE MASIGA
+255738969820
masigag1987@gmail.com
Mwananchi kutoka Moshi
Tangu uhuru Tanzania imekuwa na rada moja tu ya kuongozea ndege iliyonunuliwa mwaka 2002 ambayo hata hivyo uwezo...
Kesi iliyofunguliwa na Wabunge Mamluki , Wasaliti walionunuliwa , dhidi ya CHADEMA inaendelea Mahakamani , Ambapo leo ni zamu ya Msaliti wa Karatu Cecilia Pareso.
Kama kawaida Wakili Msomi Peter...
Kama tujuavyo Chadema ina wabunge 20 lakini kwa sasa wakati bunge linajadili Mpango wa Maendeleo wao wako busy na shauri lao mahakamani.
Hivyo Bungeni wamebaki Wabunge wa CCM na wale wa Vyama...
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu...
BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze...
Hivi Aweso ataacha lini hizo drama?!
Jana, Makala kasema issue ni upungufu wa maji ajabu leo Waziri husika anadai uharibifu wa bomba.
Nchi hii!!
----
WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA...
David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14...
Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanakusudia kuweka mchanganyiko wa uhakika wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa.
Makamba amevitaja vyanzo mbalimbali vitakavyozalisha umeme huo kuwa ni Maji...