Waziri Nape Nnauye aitaka TCRA kuyaagiza Makampuni ya Mawasiliano kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo.

Chanzo: DarMpya

Pia soma
- Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?

View attachment 2090471
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye​
Wenye roho nzuri wakishika madaraka nchi inajawa furaha.
 
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo.

Chanzo: DarMpya

Pia soma
- Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?

View attachment 2090471
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye​
Ila Nape Nnauye yuko vzr sana, huyu hata alisitahili kuwa pale kwa Makamba, sharp in acting!!!!
 
Naona Sasa bei ya bundle wanataka kupandishwa kila mwaka Kama bei ya bia na Mchele.

Hii ni sababu wapo kwenye boom, matumizi ya simu yapo kwenye boom wanajua hatuna ujanja kila kitu kipo attached to the network yabsimu hata tumeshazoea kutoa hela kwa simu kutoka kwenye akaunti ya Benji.

Ipo siku watanzania wataamua kuachana na huo upuuzi.
 
Hahaha nimecheka kwa sauti.

Tunaongozwa na wenye roho nzuri.

Tarehe 17 March tufanye sherehe ya kushukuru utukufu wa Mungu kwa kutuondolea lijitu libaya pale ikulu.

Sasa nchi kimyaàaaaaa. Tumeanza kusahau Yale mabaya
 
tena walichinja vifurushi kimya kimya na sisi tukakosa pa kuanzia ...

matamko mazuri mashaAllah ila utekelezahi sasa ?

yule wa vifaa vya ujenzi na vinywaji sioni kinachofanyika maana hata leo nimenunua nondo sh.elfu 27 na wakati walipewa siku tatu ...
 
Sio kusitisha kupandisha vifurushi, ni kishusha vifurushi waweke vua zamani kabla jiwe hajaondoka.
 
Na hawa zuku nao pia wanazingua mr #nape
Wamenilipisha hela ya decoder na hawajanipa huduma
Kamata hawa
 
Back
Top Bottom