Barua ya wazi kwa Rais: Tulifunika kombe mwanaharamu apite! Hajapita, tumeamua tumpitishe kwa nguvu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Barua hii ni ya wazi Kwa Mh Rais wa Tanzania!

Nianze Kwa kutoa pole Kwa wahangabwote wa ajali ya ndege, pili nitoe kongore Kwa wajomba na Baba zangu Wana kagera Kwa wokozi wao hakika mmetuhesimisha sisi tulioko ng'ambo.

Nieleweke sitoi pole kkwa serikali Kwa ushupavu natoa pole ya kuwa wazembe maana ni aibu hisiyo na kifani miaka 61 utawala wa chama Cha mapinduzi na serikali yake Leo hii ndege inaanguka majini inavutwa na kamba ya Katani Ili kuokoa watu.

Mh Rais Mimi Sifi Leo nakuandikia barua hii Kwa niaba ya vijana 30 tukio hitimu vyuo mbalimbali miaka kumi iliyopita nchini Tanzania.

Mh Rais Sisi vijana 30, tulipo hitimu vyuo vikuuu tuliamua au tuliazimia wote Kwa pamoja tutafute ajira serikalini na private walau Kwa kipindi Cha miaka 5, tu na baada ya hapo tuingie kwenye SIASA rasmi Kwa kupitia mlango wa kushoto wote Kwa pamoja hakuna hata mmoja aliyekuwa tayari kupitia mlango ambao sisi tunauita HARAMU, (CCM).

Mh Raisi kugombea uongozi kupitia ccm sisi tuliona ni haramau Kwa sababu moja kubwa nayo ni kuwa sisi tulichukia matendo machafu yaliyokuwa yanafanywa na vijana wa chama Cha mapinduzi enzi hizo walikuwa wakina Hally happy, Makonda na Sabaya ndio tulio kuwa tukiparulana nao Kwa age met yetu.

Haitoshi binafis nilichukia Chama cha Mapinduzi, miaka kumi iliyopita nikiwa chuo kikuu, chuo kikuu tulichokuwa tunasoma kilipandisha ada Kwa asilimia 100% Mimi na wezangu kulingana na Hali ambayo haikuwa nzuri tuliamua kukata rufaa, tulikata rufaa hatukupewa haki yetu,

Baada ya kuona haki yetu hatukupata Mimi niliongoza kikosi kwenda wizara ya elimu wakati huo ikiongozwa na Mh wziri Maghembe, tulikwenda kumuona waziri zaidi ya mara mia hayupo ofisini, mara ya mwisho nakumbuka tulikwenda hapo wizarani na kuambiwa hayupo, kumbe yupo, Kwa kuwa Mimi nilikuwa zao la Aza Boy, nakumbuka nilitoka nje ya jengo la wizara ya elimu na kati kati ya Ikulu ya magogoni Niliangua kilio na mtu wa kwanza kuja kunizuia na kunitaka niache kelele alikuwa kijana kutoka Ikulu, kumbe pale magogoni sio Kila unae muona anatembea anatembea kumbe Kuna watu pale wanakwenda mbele na kurudi nyuma.

Mh Raisi baada ya yowe, nilipelekwa na yule kijana mpk Kwa Waziri na nilipewa huduma na daraja liliongezeka.

Kuanzia hapo nilikichukia chama Cha mapinduzi Yaani siwezi pata huduma mpka niaibike?

Mh Rais mwezi ulio fatia tuliingia kwenye mchakato wa uchaguzi hapo chuoni, ulifanyika vyema na tuliamua wote kuwa wa kushoto baada ya kulia

Mh Raisi, nakumbuka wakati WA kampeni tulitembelewa na watu walio Toka ccm wakitaka sisi tujiunge ccm na watupe milioni moja tulikata na baada ya wao walikuja watu wa chadema na sisi tulienda kujiunga Bure.

Mh Raisi maisha yetu baada ya chuo.

Mh Raisi sisi baada ya kumaliiza eilimu ya juu tuliamua Kwa hiyari yetu sisi wenyewe, kutoingoa kkwenye siasa,tuliamua wote tusake ajira walau Kwa miaka 5 tu alafu baada ya hapo tuingie rasmi kwenye siasa kuondoa watawala WA ovyo na kuingiza watawala wanao jielewa.

Haikuwa raisi mweshimiwa Raisi,tulikubali shingo upande na Sasa ni mwkaa WA kumi.
Mh Raisi Kwa Sasa wengi wetu tu watumishi je utakubali sisi tuwe wapinzani wako 2025 tukitokea Ikulu?

Mh Raisi tulisema hacha TUFUNIKE KOMBE MWANA HALAMU apite kumbe tulikosea pakubwa mwanahalamu tulie sema apite hakupita amekomaa na hataki kuacchia utamu/madaraka!aibu aibu aibu aibu aibu aibu aibu aibu aibu.

Mh. Raise makonda, Hally happy, na sabaya walikuwa sehemu ya mwanakombe tulisema hapite.
Najua tukitokea Ikulu titaitwa wahaini, lakini Tambua tu yakuwa mkuu sisi vijana tumechoka kuibiwa mpaka na watumishi wa halimashauri CAG ripoti imetutaka tukutoe madarakani tuite wahaini ila soon utaelewa.
 
Sehemu moja tu ntawaunga mkono tumtoe mwanaharamu ikulu na si kwa lelemama ni kukomaa ile mbaya.
Tunahitaji watu strong na washupavu km laki3 au 4 ivi ambao watakuwa wakiongezeka kila siku barabarani kuelekea ikulu naamini hapo mwanaharamu atatoka madarakani kwa shinikizo o.w ni ndoto za alinacha
 
Ni mhitimu wa choo kikuu huyo.
Uone elimu yetu ilivyo leo!

Dah, hata Makonda ni mhitimu wa choo hicho hicho!
Hii ni kosa la makusudi au ndiyo umemaanisha hivyo...?

Hata Makonda ni nani..?

Jibu: Mhitimu wa CHOO hichohicho...!!
 
Sijui wewe umeelewa kivipi mkuu, 'The Palm Beach'. Mbona kila kitu kiko wazi kabisa!

"Makonda" ni huyo huyo aliyetajwa kwenye andiko hilo, akiwa pamoja na wenzake akina Happy na huyo mwingine aliyetajwa.
Inaonekana kundi hili, ikiwa ni pamoja na mwandishi mwenyewe wa barua, liliathiriwa sana na mfumo wa elimu uliokuwepo (uliopo) wakati huo.

Kama bado hunielewi ninachoeleza hapa, nadhani utakuwa na mengine zaidi ya uliyouliza hapo.
 
Barua hii ni ya wazi Kwa Mh Rais wa Tanzania!

Nianze Kwa kutoa pole Kwa wahangabwote wa ajali ya ndege, pili nitoe kongore Kwa wajomba na Baba zangu Wana kagera Kwa wokozi wao hakika mmetuhesimisha sisi tulioko ng'ambo.

Nieleweke sitoi pole kkwa serikali Kwa ushupavu natoa pole ya kuwa wazembe maana ni aibu hisiyo na kifani miaka 61 utawala wa chama Cha mapinduzi na serikali yake Leo hii ndege inaanguka majini inavutwa na kamba ya Katani Ili kuokoa watu.

Mh Rais Mimi Sifi Leo nakuandikia barua hii Kwa niaba ya vijana 30 tukio hitimu vyuo mbalimbali miaka kumi iliyopita nchini Tanzania.

Mh Rais Sisi vijana 30, tulipo hitimu vyuo vikuuu tuliamua au tuliazimia wote Kwa pamoja tutafute ajira serikalini na private walau Kwa kipindi Cha miaka 5, tu na baada ya hapo tuingie kwenye SIASA rasmi Kwa kupitia mlango wa kushoto wote Kwa pamoja hakuna hata mmoja aliyekuwa tayari kupitia mlango ambao sisi tunauita HARAMU, (CCM).

Mh Raisi kugombea uongozi kupitia ccm sisi tuliona ni haramau Kwa sababu moja kubwa nayo ni kuwa sisi tulichukia matendo machafu yaliyokuwa yanafanywa na vijana wa chama Cha mapinduzi enzi hizo walikuwa wakina Hally happy, Makonda na Sabaya ndio tulio kuwa tukiparulana nao Kwa age met yetu.

Haitoshi binafis nilichukia Chama cha Mapinduzi, miaka kumi iliyopita nikiwa chuo kikuu, chuo kikuu tulichokuwa tunasoma kilipandisha ada Kwa asilimia 100% Mimi na wezangu kulingana na Hali ambayo haikuwa nzuri tuliamua kukata rufaa, tulikata rufaa hatukupewa haki yetu,

Baada ya kuona haki yetu hatukupata Mimi niliongoza kikosi kwenda wizara ya elimu wakati huo ikiongozwa na Mh wziri Maghembe, tulikwenda kumuona waziri zaidi ya mara mia hayupo ofisini, mara ya mwisho nakumbuka tulikwenda hapo wizarani na kuambiwa hayupo, kumbe yupo, Kwa kuwa Mimi nilikuwa zao la Aza Boy, nakumbuka nilitoka nje ya jengo la wizara ya elimu na kati kati ya Ikulu ya magogoni Niliangua kilio na mtu wa kwanza kuja kunizuia na kunitaka niache kelele alikuwa kijana kutoka Ikulu, kumbe pale magogoni sio Kila unae muona anatembea anatembea kumbe Kuna watu pale wanakwenda mbele na kurudi nyuma.

Mh Raisi baada ya yowe, nilipelekwa na yule kijana mpk Kwa Waziri na nilipewa huduma na daraja liliongezeka.

Kuanzia hapo nilikichukia chama Cha mapinduzi Yaani siwezi pata huduma mpka niaibike?

Mh Rais mwezi ulio fatia tuliingia kwenye mchakato wa uchaguzi hapo chuoni, ulifanyika vyema na tuliamua wote kuwa wa kushoto baada ya kulia

Mh Raisi, nakumbuka wakati WA kampeni tulitembelewa na watu walio Toka ccm wakitaka sisi tujiunge ccm na watupe milioni moja tulikata na baada ya wao walikuja watu wa chadema na sisi tulienda kujiunga Bure.

Mh Raisi maisha yetu baada ya chuo.

Mh Raisi sisi baada ya kumaliiza eilimu ya juu tuliamua Kwa hiyari yetu sisi wenyewe, kutoingoa kkwenye siasa,tuliamua wote tusake ajira walau Kwa miaka 5 tu alafu baada ya hapo tuingie rasmi kwenye siasa kuondoa watawala WA ovyo na kuingiza watawala wanao jielewa.

Haikuwa raisi mweshimiwa Raisi,tulikubali shingo upande na Sasa ni mwkaa WA kumi.
Mh Raisi Kwa Sasa wengi wetu tu watumishi je utakubali sisi tuwe wapinzani wako 2025 tukitokea Ikulu?

Mh Raisi tulisema hacha TUFUNIKE KOMBE MWANA HALAMU apite kumbe tulikosea pakubwa mwanahalamu tulie sema apite hakupita amekomaa na hataki kuacchia utamu/madaraka!aibu aibu aibu aibu aibu aibu aibu aibu aibu.

Mh. Raise makonda, Hally happy, na sabaya walikuwa sehemu ya mwanakombe tulisema hapite.
Najua tukitokea Ikulu titaitwa wahaini, lakini Tambua tu yakuwa mkuu sisi vijana tumechoka kuibiwa mpaka na watumishi wa halimashauri CAG ripoti imetutaka tukutoe madarakani tuite wahaini ila soon utaelewa.
Huu mwandiko ni wa mtu aliesoma mpaka chuo kweli
 
Back
Top Bottom