Sisi Watanzania Mbululu Sana

Sisi Watanzania Mbululu Sana

O
Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
Inasikitisha sana.
 
Halafu tutasema ni mapenzi ya Mungu, hakika sisi ni hovyo sana.
 
Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
Mkuu usiwatukane watanzania kwa kisa la serikali. Unataka wananchi ndio wafanye majukumu ya serikali. Nini maana ya kuwa na serikali?
 
Mkuu hapo wangesikia watu wenye nguo za chadema wameenda kule ungekuta mpaka makomandoo wmaepelekwa
acha upuuzi wako kwenye majonzi, msiba hauna cha chama wala nini, chadema muwe na akili japo kidogo, msiwe wapuuzi muda wote.
 
Rescue team ipo Ila ela ya vifaa ilishatafunwa na wapanda ndege wenzao
N hesabu za karma tu
 
Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
Wanawaza jinsi ya kushinda uchaguzi hao hawana muda na nyie
 
Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
Ni aibu kubwa kwamba baada ya Miaka sitini ya uhuru ndege inavutwa kwa kamba!! Hatuko serious kwa kweli!!
 
Back
Top Bottom