Kesi ya Wabunge 19 wasio na chama dhidi ya CHADEMA inaendelea Mahakamani, Leo ni zamu ya Cecilia Pareso

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,628
218,059
Kesi iliyofunguliwa na Wabunge Mamluki , Wasaliti walionunuliwa , dhidi ya CHADEMA inaendelea Mahakamani , Ambapo leo ni zamu ya Msaliti wa Karatu Cecilia Pareso.

Kama kawaida Wakili Msomi Peter Kibatala Anaendelea kumsulubu huyu mama kwa kumtandika maswali magumu bila huruma yoyote , Mama wa watu anaonekana kutetemeka.

Ngoja tuendelee kusubiri.
 
Kesi iliyofunguliwa na Wabunge Mamluki , Wasaliti walionunuliwa , dhidi ya Chadema inaendelea Mahakamani , Ambapo leo ni zamu ya Msaliti wa Karatu Cecilia Pareso .

Kama kawaida Wakili Msomi Peter Kibatala Anaendelea kumsulubu huyu mama kwa kumtandika maswali magumu bila huruma yoyote , Mama wa watu anaonekana kutetemeka .

Ngoja tuendelee kusubiri .
MMM nadhani atatupa kinachojiri even not live streaming
 
Kesi iliyofunguliwa na Wabunge Mamluki , Wasaliti walionunuliwa , dhidi ya Chadema inaendelea Mahakamani , Ambapo leo ni zamu ya Msaliti wa Karatu Cecilia Pareso.

Kama kawaida Wakili Msomi Peter Kibatala Anaendelea kumsulubu huyu mama kwa kumtandika maswali magumu bila huruma yoyote , Mama wa watu anaonekana kutetemeka.

Ngoja tuendelee kusubiri.
Mungu Ibariki CHADEMA
 
Usisubirie, ingia fb kwenye account ya Twaha Mwaipaya. Mtu ana omba poo kwa maswali ya Kibatala
 
Usisubirie, ingia fb kwenye account ya Twaha Mwaipaya. Mtu ana omba poo kwa maswali ya Kibatala
Kibatala: hapa mahakamani Chadema inasema kuwa haijawahi kukuteua kuwa mbunge na hata kwenye kiapo chao wanapinga
Shahidi: Mh Jaji katika hali ya kawaida mtu hawezi kujiteua
Kibatala: Ni kweli au sio kweli chadema hawajakuteua kuwa mbunge
Shahidi: sifahamu

Logical conclusion hapa ni pi? Erythrocyte johnthebaptist
 
FB_IMG_1667899975447.jpg
FB_IMG_1667899965715.jpg
FB_IMG_1667899952032.jpg
FB_IMG_1667899959192.jpg
 
Logical conclusion ni kuwa Kwa kasema kuwa hajui, means kuwa chadema haihusiki na kukuteua...and as long as Chadema hawajawahi kukuteua, then ubunge wako ni batili! huo kwisha habari yaek! Kibatala aachie hapo!

No further question your honor. Hiki kibwagizo huwa nakipenda sana baada ya shahidi kusulubiwa kwa maswali ya wakili msomi hadi anatoa macho kama mjusi.
 
Back
Top Bottom