CHADEMA Kuongea na Waandishi wa Habari wa Ndani na Nje ya Nchi kwenye Makao Makuu ya Chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,808
218,456
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kesho Tarehe 8/11/2022 kitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Nje ya Jiji la Dar es Salaam, huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 Asubuhi.

Kamanda Mwenye hoja nzito John Mrema, ambaye Pia ni Mkuu wa Itifaki na Uhusiano wa Kimataifa wa Chama hicho, Ataongoza Jopo la Vigogo wa Chama kwenye Mkutano huo .

Usiondoke JF, ili uwe wa Kwanza kufahamu DIRA MPYA YA TAIFA , kuanzia sasa kuelekea 2025

Wote Mnakaribishwa .
 
Chama Cha Domo- Kulaz na Maenda-leo

Wazee wa kick za Matukio,katika ubora wenu.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kesho Tarehe 8/11/2022 kitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Nje ya Jiji la Dar es Salaam, huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 Asubuhi.

Kamanda Mwenye hoja nzito John Mrema, ambaye Pia ni Mkuu wa Itifaki na Uhusiano wa Kimataifa wa Chama hicho, Ataongoza Jopo la Vigogo wa Chama kwenye Mkutano huo .

Usiondoke JF, ili uwe wa Kwanza kufahamu DIRA MPYA YA TAIFA , kuanzia sasa kuelekea 2025

Wote Mnakaribishwa .
Mungu Ibariki CHADEMA
 
Back
Top Bottom