Hotuba ya Kikwete baada ya kuapisha Tume ya Maoni ya Katiba Mpya (VIDEO) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Kikwete baada ya kuapisha Tume ya Maoni ya Katiba Mpya (VIDEO)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 14, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Sikiliza hotuba yake uone anavyofanya shambulizi dhidi ya Nyerere tena la kijanja sana!!!!

  [video=youtube_share;b6oCuhAFQyg]http://youtu.be/b6oCuhAFQyg[/video]
   
 2. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,522
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Inaonekana Mh. Raisi J.K mkutano wake na CHADEMA huko IKULU umezaa mtizamo mpya wa nafasi ya Raisi wa sasa kuwa makini kuhusu suala la mchakato wa KATIBA mpya kwa ajili ya Wa-Tanzania wote ambayo itaiendesha nchi bila kuhitaji 'viraka' vingi kama KATIBA tuliyonayo sasa.
   
 3. D

  David webb Senior Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kawaida yako KIKWETE kwako kuwepo madarakani roho inakuuma sana lakini ukumbuke wananchi ndio waliompigia kura aongoze kwa awamu ya pili.huyo uliemtaka ww hakupata nafasi.
   
 4. M

  Mnyama Hatari JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni tume ya maoni ya katiba au ni tume ya mabadiliko ya katiba (Kikwete kasema hivyo).

  Kwa nini isiitwe tume ya kuunda katiba mpya?
   
 5. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,353
  Trophy Points: 280
  Talk is cheap nimeishia dakika ya kumina-nne ya hotuba ya mheshimiwa na habari zake za kujifanya tume itafuata usawa wakati yeye mwenyewe keshavunja namna ya kutafuta usawa wa tume ya katiba katiba ya sasa. Amejipa majukumu yasiyo muhusu kwa mujibu wa katiba. Hakuwahusisha vyama pinzani wala social leaders kwenye teuzi zake. Skepticals wanaweza sema tume hipo kwa ajili ya mteuzi wao na hivyo kuvunja misingi ya ibara ifuatayo ya katiba ya sasa.

  Aren't we just going in circles, tunahitaji mfumo upya wa mchakato wote atupingi dhamira ya raisi bali tunataka certainity kwenye mchakato na hatimae katiba yenyewe.
   
 6. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sawa, kazi yetu ss wananchi ni kujiandaa kutoa maoni yetu
   
 7. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,353
  Trophy Points: 280
  yepi na iwapo raisi keshasema kutakuwa na maoni ya wapuuzi na ya waelevu kwa mujibu wake yepi ni yepi maana kunawatu wanadai mahakama za kadhi, kuna watu wanadai usawa wa distribution za government subsidiaries kwenye mambo ya religious NGO's( which is not a priorty angle to me and many of my era).

  Kuna watu tunataka ona economical programmes zipo checked na hatutaki kusikia hadithi za akina Mkapa tena years later kutupia lawama watu wengine.

  Swali how is the team balanced? OK laba tutoe hayo ya dini which im much more influenced by JF threads on that angle za kipuuzi kuliko hali halisi, but there are other serious issues. Which require serious representation sasa raisi kateua wote hao wewe uoni kama ni wazushi wake tu?
   
 8. J

  JokaKuu Platinum Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,958
  Trophy Points: 280
  ..nimeona kuna jamaa alikuwa anafagia wakati Raisi anahutubia!!

  ..sijui kwanini jamaa alishindwa kusibiri Raisi amalize kuhutubia, ndipo na yeye afanye usafi.
   
 9. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,353
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine unajua walevi wakishalewa wanakuwachia makopo tu, you might as well start clearing early to finish your shift. Nothing new comes out of the routine.
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,958
  Trophy Points: 280
  ..halafu wa-Zanzibari wameshaambiwa hakuna kuvunja muungano!!!
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  watake radhi watanzania. Kama kulivyo na wabunge wa mahakama, huyu ni rais wa Tume
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  biz as usual
   
 13. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  It was an order from Prof. Maji marefu.
   
 14. KISHOKA_ZUMBU

  KISHOKA_ZUMBU Senior Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Tatizo ni kuwa na mawazo biased! You can't figure what is out of the box!
   
 15. KISHOKA_ZUMBU

  KISHOKA_ZUMBU Senior Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Watanzania sio wanasiasa, bali ni wapenzi wa vyama. Akipenda hata kuona kwa utashi haiwezekani.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kikwete naona anataka kuacha nyuma kitu kitakachomfanya tumkumbuke. Lakini kama anapiga vijembe au anaamua kupambana na Nyerere ni kupoteza muda wake tu. Its very difficult to change Nyerere's position now.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Apr 13

  [h=1]IKULU:TASWIRA ZA RAIS JAKAYA KIKWETE AKIMWAPISHA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO[/h]

  Written by haki | // 0 comments

  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Joseph Sinde Warioba, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Agustini Ramadhan, kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Salim Ahmed Salim, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha, Abdallah Ali Saleh, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mbunge wa Viti Maalum, Al-shymaa Kwegiyr, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt, Edmund Sengondo Mvungi, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Fatma Said Ali, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Humphrey Polepole, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Maria Malingumu Kashonda, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwantum Malale, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwesiga Laurent Baregu,kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Raya Suleiman Hamad, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Said Elmaamri, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha, Salma Mauli, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Maria Simai Mohamed Said, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwapongeza wajumbe wa Tume hiyo baada ya kuapishwa rasmi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam Leo
  [​IMG]
  Baadhi ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria hafla hiyo katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
  [​IMG]
  18:- Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, na Makamu wake wawili, Maalim Seif na Balozi Seif Idd, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na Viongozi wateule na wajumbe wa Tume hiyo baada ya kuapishwa rasmi. Tume hiyo inatarajia kuanza kazi rasmi Mei 01, mwaka huu. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais
   
Loading...