Shaka anazungumza kwa uwazi kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa ameifungua nchi.
Anazunguka duniani kuipaisha Tanzania.
Ziara za Rais zimetuzawadia deni la Taifa kufikia Trillion 71+ mpaka sasa...
James Mbatia amesema Precision Air ndio inaongoza kwa kubeba watalii wanaokuja nchini hivyo kitendo cha CNN, BBC, Al jazeera nk kutangaza negatively tukio la Ndege yetu kuvutwa kwa Kamba kutawatia...
Habari wananchi wenzangu!
Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali mito, maziwa na bahari kukimesha tatizo la upatikanaji wa maji kwa wananchi.
Dar es salaam sehemu zenye miundombinu...
Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine...
Salaam,
Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya.
Tangu...
Kwa muda mrefu tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar hawa ndugu zetu kutoka Zanzibar wamekuwa hawaridhishwi na huu muungano, inasemakena hadi Rais wa kwanza wa Zanzibar alishawahi sema muungano...
Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa...
Kila mbunge wa CCM anayesimama bungeni analalamikia hali ngumu ya maisha Jimboni Kwake
Hivi hawa Wabunge wanaishi majimboni kweli au wanaigiza?
Kwanini wasiachie Sitting allowance zikasaidie...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Nishati Safi ya Kupikia, Leo Novemba 1, 2022
Prof. Anna Tibaijuka
Mbunge mstaafu...
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) karibuni linatarajia kuzindua safari mpya za kwenda Afrika Kusini, ambapo ndege ya kwanza kuruka kwenda jijini Johannesburg itaruka Julai mwaka huu.
Mkurugenzi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki akiwa Msemaji Mkuu katika uzinduzi wa ripoti ya ufuatiliaji wa mkataba wa Nairobi, Kuhusu mkutano wa...
Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Filbarto Sanga, amesema kuwa mkulima yeyote atakayebainika kukabiliwa na njaa atapelekwa mahakamani kutokana na kushindwa kufuata maagizo ya kuhifadhi...
Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN.
Kuhusu ndege iliyopata...
Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zuber ametangaza Ijumaa ya tarehe 11/11/2022 Kuwa Siku ya Waislamu Wote kuombea Mvua ianze kuonyesha
Source Star tv
Kama ni msomaji wa jukwa la siasa unaweza shangazwa na wachangiaji wanaojiita wasomi wakipinga PhD’s za watu wasio wakubali.
Issue za ovyo kwangu kwenye huu upingaji ni kuhusu hizi PhD za social...
Inaonekana ni yeye pekee haoni kuwa kuna hitilafu kubwa ya billing system ya simu za mkononi inayopelekea watumiaji kuibiwa wazi wazi.
Kitendo cha spika kutoa ufafanuzi kuhusu wizi huo ndani ya...
Ikiwa leo ni siku nyingine ambayo kesi hiyo inaendelea Mahakamani , Msaliti atakayekuwa kikaangoni ni Jesica Kishoa , kutoka Iramba .
Kama ilivyo desturi atahojiwa na Wakili Msomi Peter Kibatala...
kama kuna hazina kubwa katika nchi hii tuliyopewa na Mungu kutoka Kusini huko Ruangwa ni Kassim Majaliwa. Huyu ni mwanasiasa haswaa, mvumilivu na anaijua kazi yake.
Wanasiasa wanajaribu...
Pamoja na Nia njema ya kuleta unafuu wa bei za mafuta/ petroli lakini njia ya kwenda Kukopa haifai.
Tulikubaliana kama Taifa tutakopa kwa ajili ya miradi ila sio kwa ajili ya kula na mambo kama...
1. UTANGULIZI
Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.