Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. UTANGULIZI Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni hayo tu Watanzania wenzangu. Nimekata tamaa kabisa na hii katiba kwani haiwezekani nchi huru yenye Miaka 60 Ya Uhuru AMANI na UTULIVU. Haina VITA kama CONGO ina RASLIMALI za Kutosha karibu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ametaka sababu za kutengwa fedha hizo kwa ajili ya Vijiji 48 Wilayani Mbarali wakati timu ya Mawaziri 8 imevifuta na havipo. Amesema Serikali ilisaini mikataba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022. Ikiwa wenzetu Kenya...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Shughuli za Kimuungano zinapofanyika Zanzibar haimaanishi shughuli hizo zisimamiwe na viongozi toka Zanzibar. Mambo ya Muungano yanasimamiwa na serikali ya Muungano na siyo Serikali ya Zanzibar...
6 Reactions
11 Replies
989 Views
Kwa sasa nchini na Duniani kote kuna upungufu wa chakula. Kwa wengine, hili limekuwa janga, na kwa wengine imekuwa neema. Ukichanganya upungufu wa chakula, bei kubwa ya mafuta ya kuendeshea...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Hawa Act Wazalendo wana harufu ya udini. Halafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kiongozi wao wa Chama nasita kuhamia. CHADEMA walikuwa vizuri enzi za Dkt. Slaa na niliwakubali...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Na Godfrey Mushi Wasalaam, Imekuwa siku mpya hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema Kwa fursa hii ya uhai na neema zake katika maisha yetu. Jana nimemsikiliza Mbunge wa Musoma...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Kwa mjibu wa gazeti la The Citizen tajiri Rostam Aziz amenunua hisa nyingi za Coastal ambayo ni Kampuni inayojishughulisha na usafiri wa anga. Kwa umafia wa kibiashara wa Rostam Aziz Air Tanzania...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Viongozi wa dola kupitia CCM kuanzia Wabunge, Madiwani na Wenyeviti Mitaa, Vijiji na Vitongoji hawaruhusiwi kugombea nafasi yeyote ndani ya chama. Ingawa wanaingia kamati za siasa ndani ya ngazi...
4 Reactions
15 Replies
949 Views
Ujasusi, Uwezo binafsi wa kuchanbua Na kuchakata Mambo ni Jambo la kuiga hata Kama si kipaji chako Yapo Makundi mawili yanayoshnikiza PM kuondoka katika nafasi yake nayo ni kama hivi 1.wapinzani...
1 Reactions
8 Replies
802 Views
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana. Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na...
38 Reactions
134 Replies
12K Views
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara nusura atolewe nje ya ukumbi baada ya kuonyesha kukaidi agizo la Mwenyekiti wa kikao alipomtaka akae chini. Hali hiyo imetokea ndani ya bunge leo Jumatano...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunasubiri neno lako kiongozi wetu utoe neno kwenye ajali hii. Ukimya wako unatunyima raha sisi wafuasi wako. Huku mtaani tunaambiwa chama chetu ni cha udini ndiyo maana uko kimya sana. Sa100 na...
3 Reactions
7 Replies
560 Views
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge Tafsiri yake ni kwamba 1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake 2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza 3...
16 Reactions
75 Replies
5K Views
Hili suala la mamlaka nchini kuonekana kutumia nguvu isiyokua ya kawaida kuidhibiti chadema isiweze kuwavua wanachama wake uanachama linastaajabisha wengi. Tumeona na kuzoea kuona chama cha...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Hapo Kenya siyo Kesi tu bali hata usahili wa kumpata Jaji mkuu hufanywa hadharani kupitia Runinga zote. Usaili wa kumpata Inspector General wa police hufanywa mubashara ndani ya bunge Tanzania...
3 Reactions
8 Replies
691 Views
Tanzania Nchi yenye watu Milioni 61 hisia na mawazo yanaendeshwa na kikundi cha wanaojiita wanaharakati mitandaoni ambao familia zao zina uhakika wa kula na kusaza. Baada ya ajali ya ndege siku...
3 Reactions
5 Replies
694 Views
Bunge lako limevitaka vyuo vikuu ambavyo vina wanafunzi waliodahiliwa na hawajapata mikopo lakini wameomba na wana sifa za kupata mikopo, wawapokee wanafunzi hao na kuiagiza serikali ifanye...
2 Reactions
5 Replies
900 Views
Back
Top Bottom