Rais Samia tafadhali iheshimu Katiba maana wewe umekuwa Rais by Default kwa Katiba kuheshimiwa na kupiganiwa, ipiganie Katiba

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,980
1. Ruhusu mikutano ya Siasa iendelee maana iko Kikatiba na kisheria.
2. Heshimu Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
3. Waondoe akina Halima na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale na wewe unajua fika waliingiaje!

MWISHO:
4. . Alisema Mkuu wa majeshi kuwa wali ilinda katiba kilipotokea kifo cha Magufuli, nadhani unajua walimaanisha nini na unajua maana yake nini. (The message ni kwamba kulikuwa na watu wanataka kutoiheshimu Katiba....wakakataa kuwa lazima katiba iheshimiwe)

Jumapili njema tukasari lkwa Wakristo
 
Yaani Rais unataka aheshimu katiba na wakati huo huo unataka aingilie mahakama?kwahiyo kina Halima haki Yao ya kimahakama na kikatiba aikanyage kukufurahisha wewe mwana Chadema.??halafu unataka aheshimu katiba? seriously?
CCM ni wasanii.Na wanatumia hii komenti yako kuendeleza unyang'au wao.
 
2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
Kwenye eneo hili la haki za binaadamu, Mama Samia, apewe kongole sana, huyu ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki, mtenda haki.
Ameonyesha kwa kauli na matendo!.
Mifano iko mingi tuu ya kumwaga hapa nakupa mifano mitano tuu!, ukitaka 10, nakupa, ukitaka 20 nakupa
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
Kwenye eneo la haki, so far Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendo, is the best of the best... ila sasa kwa kwa kadri siku zinavyokwenda, naona kama na yeye anaanza... itaendelea!, nitamalizia ...

P
 
Mkuu Retired , hivi mpaka leo ni zaidi ya mwaka, hujaujua tuu utendaji wa Samia?.
Mbona hili limekwisha kitambo pale tuu alipounda kamati ya Mkandala!, kilichobaki ni bado tuu kutangazwa!.
P
Sijaona matokeo chanya ya kikatiba, tangible outcome from the so-called Mukandala kikosi kazi. Ni gheresha bla balh blah za hapa na pale! Utendaji ni ku buy time na ndiyo nasema tusichoke kusema, tupige kelele kama anavyosema Lisu!

Najua utendaji wake, hana tofauti sana na magufuli ingawa Samia ana ka woga kidogo na Mungu!
 
Kwenye eneo hili la haki za binaadamu, Mama Samia, apewe kongole sana, huyu ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki, mtenda haki.
P
Mifano michache ya haki za binadamu ni pamoja na haki ya kuishi, haki ya kuwa na makazi, haki ya kutoadhibiwa bila kusikilizwa, haki ya mtu kwenda anakotaka, haki ya kutodhalilishwa na kutwezwa kwa utu, haki ya kumiliki mali, nk.
Ukienda ndani sana kuna haki hapo zinakiukwa kwa kisingizio cha vikosi kazi! Jaribu kuona kama mfano haki kutoadhibiwa bila ya kusikilizwa inalindwa inavyopashwa....as long as Judiciary haiko huru, hilo haliwezi kusimama!
 
Acha ubabaishaji wako wewe. Wakina Halima wenu nenda mkapambane nao huko mahakamani kisheria usitake njia za mkato. Suala la haki za binadamu naona ni Kama umelewa maana serikali Ni miongoni mwa serikali chache barani Afrika zinazozingatia misingi ya utawala Bora na sheria katika kuongoza serikali,ndio sababu husikii habari za matamko au mataarifa ya uvunjifu wa Haki za binadamu kutoka mataasisi ya kimataifa au wanaharakati.

Suala la mikutano ya kisiasa lipo katika majadiliano ya kuona namna nzuri ya kufanya shughuli za kisiasa kwa vyama vya siasa na siyo kutaka mzurule zurule mitaani Kama kuku,hamuoni nchi Kama marekani wakimaliza uchaguzi wanatulia kuacha serikali ifanye kazi ya kuwatumikia watu?
 
Usiwe na haraka, wewe niamini mimi hilo la mikutano limekwisha kitambo!.
P
Kwa hiyo,mikutano ya siasa mnataka mfanye nyie tu duh
Kweli nyie chama $ ila elewa uchaguzi ujue idadi kubwa ya watu hawato piga kura.....uwanja mmeachiwa wenyewe
Acha tuwe watizamaji sahvi

Ova
 
Kwa hiyo,mikutano ya siasa mnataka mfanye nyie tu duh
Kweli nyie chama $ ila elewa uchaguzi ujue idadi kubwa ya watu hawato piga kura.....uwanja mmeachiwa wenyewe
Acha tuwe watizamaji sahvi

Ova
Mkuu mrangi , kwenye eneo hili, Mama anatakiwa asaidiwe!. Tutamsaidia kuelimisha na kuhamasisha kuhakikisha angalau 75% ya eligible voters wanajiandikisha na angalau 50% wanajitokeza na wanapiga kura ili kumpa legitimacy rais wa 2025 !.
P
 
Acha ubabaishaji wako wewe. Wakina Halima wenu nenda mkapambane nao huko mahakamani kisheria usitake njia za mkato. Suala la haki za binadamu naona ni Kama umelewa maana serikali Ni miongoni mwa serikali chache barani Afrika zinazozingatia misingi ya utawala Bora na sheria katika kuongoza serikali,ndio sababu husikii habari za matamko au mataarifa ya uvunjifu wa Haki za binadamu kutoka mataasisi ya kimataifa au wanaharakati.

Suala la mikutano ya kisiasa lipo katika majadiliano ya kuona namna nzuri ya kufanya shughuli za kisiasa kwa vyama vya siasa na siyo kutaka mzurule zurule mitaani Kama kuku,hamuoni nchi Kama marekani wakimaliza uchaguzi wanatulia kuacha serikali ifanye kazi ya kuwatumikia watu?
Luca,huwa unapenda kujibiwa kwa staha.Sasa na weye mjibu kwa staha.Hakuna swali au hoja ya kijinga.
 
Mifano michache ya haki za binadamu ni pamoja na haki ya kuishi, haki ya kuwa na makazi, haki ya kutoadhibiwa bila kusikilizwa, haki ya mtu kwenda anakotaka, haki ya kutodhalilishwa na kutwezwa kwa utu, haki ya kumiliki mali, nk.
Ukienda ndani sana kuna haki hapo zinakiukwa kwa kisingizio cha vikosi kazi! Jaribu kuona kama mfano haki kutoadhibiwa bila ya kusikilizwa inalindwa inavyopashwa....as long as Judiciary haiko huru, hilo haliwezi kusimama!
Mkuu Retired , tujifunze kuwa watu wa shukrani hata kwa madogo ili tupatiwe makubwa. Ukilinganisha na mtangulizi wake, lets be more appreciative kwa ku appreciate kwa haya mabadiliko maana... na

Sisi watu wa shukrani tunasema Asante Mungu kwa Samia ...

Appreciate, appreciate, appreciate

P
 
Back
Top Bottom