je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,874
- 3,611
Mkoa wa pwani sijui nani aliuroga nadhani alie uroga huu mkoa tayar alishakufa.
Huu mkoa una barabara za kuunga unga mno ni aibu tupu ukiwa ni mkoa unao unganisha mikoa ya kusin lindi na mtwara
Lakini ni tatizo katika kuingia mji wa biashara na uchumi mkubwa dar es salaam
Njia ni ile ile ya miaka ile enzi za uhuru 1961, njia inaruhusu gari mbili tu ,gari ya kuenda na kurudi, ukijaribu ku over take unaua watu maana hii njia kuanzia mbagala hadi mkuranga ina magari mengi sana
Mji umekuwa sana kuanzia mbagala hadi mkuranga ,watu wamejenga sana lakin cha kushangaza huduma za kijamii ni za kuunga unga sana ,yan hakuna hospital ya kueleweka hakuna shule za kueleweka wakati watoto wanazaliwa kila siku na watu wanahamia watu katika majumba yao...
Serikali mwilikeni taa huku pia kuna watu wana roho kama watu wa bunju ,goba,madale, tegeta ,mbezi,kibamba na kimara
Tunaomba barabara hata ya njia tatu kama sio nne
KWA MFANO LEO WAZIRI MKUU KATEMBELEA KIBITI
FOLENI ALIYOACHA HUKU NI KUBWA HAISEMEKI NI AIBU KWA NCHI ILIYO KATIKA UCHUMI WA KATI
GARI ZIMEWEKWA PENDING MASAA MATATU KUSUBIRI MSAFARA UPITE
KWA MFANO KAMA NJIA ZINGEKUWA NNE YASINGETOKEA HAYA YOTE
HAPA MMESABABISHA MADEREVA WA DALADALA KUKOSA HELA YA BOSS .MAANA KAMA ALITAKIWA APIGE RUTI KUMI KWA SIKU ATAPIGA SITA TU NA HATAPATA HELA YA MAFUTA YA BOSS NA POSHO YAKE
Mmesababisha raia kukaa kwenye gari masaa manne kisa msafara wakati ni jambo dogo tu la kuongeza njia huku.
Kwani njia nne kuanzia mbagala hadi kongoe au hadi vikindu ina gharimu kiasi gani ,??? Ili tuchange kila nyumba tujenge wenyewe ??? Nyie jengeni barabara za goba na makumbusho.
Inaumiza sana kuona barabara za mitaa tu zinapigwa lami huko dar es salaam alafu huku kimya kama hakuna watu
Bora tujitenge tuwe na nchi yetu
Nina hasira sana !!
Wandengereko, wamakonde na wazaramu tunadharuliwa nchii kama sio watu vile
Mana ndio tumerundikana wilaya hii ya mkuranga.