Tuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini

Status
Not open for further replies.

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.

Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.

Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu wamempaka matope Rais.

Tanzania sio nchi ya kidini huu uliofanyika ni uchaguzi ambao unaacha maswali mengi sana sana.
 
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini...
Orodha ya hapa chini ni mifano halisia

Mwenyekiti Taifa - Samia Suluhu Hassan

Makamu Mwenyekiti Bara - Abdalhaman Omari Kinana

Makamu Mwenyekiti Zanzibar - Ali Mohamed Shein anafuata Hussein Ali Mwinyi

Mwenyekiti Wazazi - Fadhili Rajabu Maganya

Makamu Mwenyekiti Wazazi - Doto Iddi Mabrouk

Mwenyekiti Vijana Taifa - Mohammed Ali Mohammed

Makamu Mwenyekiti Vijana Taifa - Rehema Sombi Omary

Orodha nyingine inakuja
 
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.

Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.

Kama huu uchaguzi umefanyika kumlridhisha Rais basi watu wamempaka matope Rais.

Tanzania sio nchi ya kidini huu uliofanyika ni uchaguzi ambao unaacha maswali mengi sana sana.
ZAMU ya WAISLAMU ni mjinga tu atapiga Angalia VIONGOZI wa Mkoa wa DAR
JamiiForums-2062042083.jpg
 
Hatari sana. Utawaambia nini sasa watu wa bara kuhusu hiki chama?..

Kila kiongozi anaoneka Muislam.

Huko kwenye vikao watakuwa wanaanza na Swala.

Mkiristo anawezaje kupitishwa jina lake hapo likarudi na akawa na amani kwamba atapa ushirikiano?
 
Waislam wana udini sana, angalia list ya chama chetu CHADEMA walivyojipa vyeo vya juu hapo chini:

1) Mwenyekiti taifa Freeman Mbowe (muislam)

2) Makamu mwenyekiti Tundu Lissu (muislam)
Makamu mwenyekiti kule Zanzibar tumemuweka mkristo mmoja ili kuwazuga watanzania wasishtuke kuhusu udini wetu

3) Katibu mkuu John Mnyika (muislam)
List ni ndefu ila acha niishie hapa.

4) Naibu katibu mkuu Benson Kigaila (muislam)
Peter Msigwa (muislam) huyu aliwahi kuwa hata na msikiti wake pale Iringa, lakini kwa sababu ya udini wetu tumemkumbatia aendelee kutupa darasa waumini wake chamani.

Huko ACT Wazalendo ndio tuko makkah kabisa, kuanzia kiongozi mkuu wa chama hadi mfagiaji ni wenyewe watupu.

Sasa sijui kwanini tuna deal na CCM na wakati na sisi wenyewe tumejazana wa dini moja.

Waswahili wanasema kunya anye kuku, akinya bata kaharisha sio?!!
 
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini...
Kama uligombea ukapigwa za uso usilete ujinga wa kutafuta excuses za kipumbavu.

Waliopiga Kura walikuwa Waislam pekee? Mimi Mkoa niliko 3/4 ya wapiga kura Ni Wakristo na wamechagua Viongozi wa dini ya Kiislamu maana ndio waligombea na kushinda Sasa sijui unatakaje.
 
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udin...
Ni mjinga tu anaetazama/kufikiri mambo kwa mwamvuli wa udini...hivi hata wakiwa waislam au wakristo wote ndo sisi waislam au wakristo tutaneemeka?

Sisi tuwahukumu kwa kushindwa kutekeleza majukumu Yao na sio kwa dini zao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom