Je, Mchungaji Msigwa amestaafu siasa? Muda mwingi yuko Kanisani akiombea watu na kutoa mapepo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,133
Siasa za Iringa zimebadilika sana na kwa hakika nawapongeza Wanasiasa wetu wote ambao kimsingi ni kama wameshastaafu.

Mchungaji Msigwa kwa sasa amejikita kwenye huduma ya kumtumikia Mungu wa mbinguni akikemea mapepo na kuwaombea watu wenye shida mbalimbali.

Salum Happi amejikita kwenye Kilimo cha pilipili za mwendokasi.

Kasesela naye anasimamia Bajaj zake na kibasi cha town trip

Iringa ni pazuri karibuni sana!
 
Usituchanganyie habari; Msigwa ndio Yuko na hizo versions nyingine au hao ni Watu tofauti? Why uanze na Msigwa?
 
Siasa za Iringa zimebadilika sana na kwa hakika nawapongeza Wanasiasa wetu wote ambao kimsingi ni kama wameshastaafu.

Mchungaji Msigwa kwa sasa amejikita kwenye huduma ya kumtumikia Mungu wa mbinguni akikemea mapepo na kuwaombea watu wenye shida mbalimbali.

Salum Happi amejikita kwenye Kilimo cha pilipili za mwendokasi.

Kasesela naye anasimamia Bajaj zake na kibasi cha town trip

Iringa ni pazuri karibuni sana!
Amebwaga manyanga, pepo la CCM limemshinda!!
 
Amegundua kwamba Chadema wanasumbuliwa na mapepo, japo wao wanaamini ni mzuka wa kisiasa, Sasa kaamua kuyatoa mapepo hayo
 
Siasa za Iringa zimebadilika sana na kwa hakika nawapongeza Wanasiasa wetu wote ambao kimsingi ni kama wameshastaafu.

Mchungaji Msigwa kwa sasa amejikita kwenye huduma ya kumtumikia Mungu wa mbinguni akikemea mapepo na kuwaombea watu wenye shida mbalimbali.

Salum Happi amejikita kwenye Kilimo cha pilipili za mwendokasi.

Kasesela naye anasimamia Bajaj zake na kibasi cha town trip

Iringa ni pazuri karibuni sana!
Niko Mji wenu huu Mkuu...nimeoakubali Sana
 
Siasa za Iringa zimebadilika sana na kwa hakika nawapongeza Wanasiasa wetu wote ambao kimsingi ni kama wameshastaafu.

Mchungaji Msigwa kwa sasa amejikita kwenye huduma ya kumtumikia Mungu wa mbinguni akikemea mapepo na kuwaombea watu wenye shida mbalimbali.

Salum Happi amejikita kwenye Kilimo cha pilipili za mwendokasi.

Kasesela naye anasimamia Bajaj zake na kibasi cha town trip

Iringa ni pazuri karibuni sana!
Anakusaidia nini? Au anasaidia nini kupunvuza.magao wa umeme? Wacha ujinga
 
Siasa za Iringa zimebadilika sana na kwa hakika nawapongeza Wanasiasa wetu wote ambao kimsingi ni kama wameshastaafu.

Mchungaji Msigwa kwa sasa amejikita kwenye huduma ya kumtumikia Mungu wa mbinguni akikemea mapepo na kuwaombea watu wenye shida mbalimbali.

Salum Happi amejikita kwenye Kilimo cha pilipili za mwendokasi.

Kasesela naye anasimamia Bajaj zake na kibasi cha town trip

Iringa ni pazuri karibuni sana!
Kikwete kwanini hastaafu?
 
Mbona hata ASKOFU GWAJIMA ANASHINDA KANISANI KUFUFUA WAFU
 
Back
Top Bottom